Recent content by bryanca

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asante sana ndugu yangu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asante sana MUNGU ni mwema
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asante sana ndugu yangu, huku sio wakaka tu tuko na sisi kina dada
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Daaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Bado kidogo ndugu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Kumbe wamebaki wachache hvo duuh
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Mungu atukumbuke nasisi tuwe kati ya 277
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi sio kaka mbn[emoji3526], tuombeane ndugu yangu Mungu atatukumbuka nasisi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Tupo wengi tunasubiri ndugu yangu tuendelee tu kumuomba Mungu nasi atukumbuke
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Daaaah cdo kama wote hv nmebaki mimi tu mbn, Mungu anione jmn
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana ndugu yangu, ngj nami niendelee kusubiri huenda pdf zijazo nikatokea
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kumbe baada ya oral inaweza kubadilika kuwa not selected emb nifatilie status zangu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Kumbe status zina maana?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Hapana mbn yupo nnaemfahamu tulifanya nae interview na ameitwa, tulikua nae kwny usaili mwezi wa7
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Ila kuita 26 kati ya post800 aloooooh mbn tutasubiri sana na hapo mtu hujui kama ulifaulu au hukufaulu
Back
Top Bottom