Recent content by brussels

  1. B

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mkuu naomba unifahamishe unapoamua kununua RAM au processor ili uireplace ile ya mwanzo ,unanunua tu yeyote au kuna vitu vya kuzingatia? ukizingatia pia zina kuwa na muonekano na size tofautitofauti kdogo sasa je mafundi huwa wanazifix vipi katika kifaa chako?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Hii ipo kwenye laptop mkuu .na nashukuru kwa elimu yako
  3. B

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Ahsante mkuu VP huwa kuna uwezekano wa kubadili processor na kuweka ambayo iko more powerful? Kama inawezekana vp gharama zake zikoje?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mkuu naomba unijulishe hii processor iko kundi gani na pia vipi inaweza stahimili game nzito(maana mi ni mpenzi wa gaming) PROCESSOR : AMD A4 - 3300 APU with Radeon(tm) HD Graphics 1.9 Ghz RAM : 4.00 GB (2.24 GB usable) SYSTEM TYPE : 32-bit operating system, x64-based processor
  5. B

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    Mkuu hebu Isome vzur joining mi naona kama tarehe 23 ndo masomo yanaanza
  6. B

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    Poa poa
  7. B

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    0757247723
  8. B

    JamiiForums Tanzania St. Joseph College of Health and Allied Science

    Wakuu umeme unasumbua ila ni kweli mimi wa first round nimeshatumiwa na kuna jamma (mapunda b )alini PM nimesha Forwadia kwny email yake sasa hv
  9. B

    JamiiForums Tanzania St. Joseph universty college of health and allied science

    Wakuu wa st joseph book campus angalien emails zenu jamaa washatuma joining instructions
  10. B

    JamiiForums Tanzania TCU na Kozi za Udakitari

    Dah saf sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania TCU na Kozi za Udakitari

    Duuuh BRN Norma Vp Yule wa b+ b+b+ alifanikiwa kupata chuo?
  12. B

    JamiiForums Tanzania TCU na Kozi za Udakitari

    Huyo dogo alimaliza mwaka gani kaka
  13. B

    JamiiForums Tanzania Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

    Hebu naomba wadau tuendelee na mada husika achaneni na huyo kikoozi
  14. B

    JamiiForums Tanzania Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

    Acha upuuzi wako ,usidhani sifa unatukera sasa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

    Ahsante mkuu tuendelee kuwasikia na wadau wengine
Back
Top Bottom