Namatumain hayo ni mawazo ya nkamia sio ya Watanzania,,, japo wasiwasii ikifika bungen uwezekano wa kupitishwa kama mkataba ya madin miaka ile,,,,,, Naiman na Rais wetu hatokuwa sehemu ya kuvunja miko na misingi ya mwanzilishi wa taifa hili,,,, Burian Nyerere
Wa kus au kas,,,, hueleweki kama Upinzan wa Tanzania,,, kilichokutuma uponde diploma ni kipi? Nafanya kaz na vjana wa dploma,,, Uwezo walionao ni mkubwa kuliko unavyodhania,,,, ukubwa wa kichwa sio maarifa
Si kila aliyesoma au anayetalajia kujiunga dploma ni miongon mwa waliofeli mitihan,,,, waliopo DIT,, MUHIMBILI,, NAKWINGINEKO INAWEZEKANA MATOKEO YAO YA KIDATO CHA NNE HUWEZ LINGANISHA NA YAKWAKO,, YALIYOBUMBWA KWA GPA,,,,
Katibu mkuu wizara ya afya alikuwa chumba cha upasuaji ambaye ni kati ya madaktari bingwa wenye heshima zao hapa nchin, alijitahid kumsave mh TL wazr wa afya akiwa mazingra ya chumba cha upasuaji akipokea maagizo ya katibu mkuu na jopo lake la madctar. Anatokea mtu mmoja asiyejua chochote...
Tukumbuke kuna uwezekano wa kuzuia smg isipige kelelele kwa kuivalisha kifaa flan,,, risasi hutoka kama jiwe mtu wa kalibu sio rahis kubain
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.