Prof. Mwandosya: Kuuliza si Ujinga, kamati za Bunge kutowasilisha ripoti bungeni kwanza, Je kanuni zimebadilika?

Kanuni hazijabadilika na wala hazijavunjwa. Tofauti na kamati hizo nyingine alizotaja prof Mwandosya ambazo ziliundwa kwa utashi wa bunge lenyewe, hizi za juzi ziliundwa kwa ombi la Rais. Kama ulimsikia Spika Ndugai wakati anawasilisha alisema wazi aliunda kamati zile kutokana na ombi la Rais kwamba bunge limsaidie kuchunguza. Kimsingi kamati ya bunge ndio bunge lenyewe na taarifa hii ilikuwa ni hitaji la serikali so hakukuwa na haja ya mjadala wa bunge zima kwani si wao walioagiza uchunguzi. Ahsante!
mkuu watu wanataka kanuni na sio dhana.Toa kanuni inayoruhusu hilo?
 
Wapi rais alipeleka hilo ombi? Rais ana vyombo vyake vya kiuchunguzi ambavyo katiba imempatia na ana mamlaka navyo. Utaratibu wa utendaji kazi kati ya bunge na serikali haupo hivyo unavyo jaribu kuaminisha watu.
 
View attachment 584627

Mwanasiasa mkongwe na waziri mwandamizi wa zamani,Prof Mark Mwandosya ameandika katika "tweet" akihoji kuwa,huu utaratibu wa kamati ya Bunge kuundwa na Spika kuchunguza jambo fulani,na baadae badala ya kuliwasilisha bungeni na wabunge kupata muda wa kujadili,safari hii kamati zimewasilisha taarifa zao nje ya bunge lakini katika viwanja vya bunge,na baadae taarifa hiyo kukabidhiwa kwa Rais.

Prof Mwandosya anahoji anasema "Je Kanuni za Bunge zimabadilika?"...Maana ilivyozoeleka na kwa mujibu wa kanuni,kamati kama hizi huwasilisha taarifa zao ndani ya bunge,bunge hujadili na baadae kutoa maazimio ambayo Serikali hupaswa kuyafuata na kuyatekeleza.

Hivi ndivyo ilivyofanya kamati ya Mwakyembe juu ya suala la Richmond,Kamati ile ya Operesheni Tokomeza na hata kamati hizi mbili za kuchunguza Tanzanite na Almasi zilipaswa kufanya hivyo kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge.

Nami niungane na Prof Mwandosya kuuliza "JE KANUNI ZA BUNGE ZIMEBADILIKA"
barafu wa JF
Ngoja waje wasiojulikana watakujibu
 
Wapi rais alipeleka hilo ombi? Rais ana vyombo vyake vya kiuchunguzi ambavyo katiba imempatia na ana mamlaka navyo. Utaratibu wa utendaji kazi kati ya bunge na serikali haupo hivyo unavyo jaribu kuaminisha watu.
Inaonyesha siku Rais anakabidhiwa ripoti ulikuwa busy kumshangaa Prof Lipumba pale mbele kiasi cha kushindwa kusikiliza hotuba ya Rais na Spika. Pole sana mkuu!
 
Inaonyesha siku Rais anakabidhiwa ripoti ulikuwa busy kumshangaa Prof Lipumba pale mbele kiasi cha kushindwa kusikiliza hotuba ya Rais na Spika. Pole sana mkuu!
Acha porojo bwana mdogo rudi kwenye kanuni za utendaji wa mihimili yetu inavyoelekeza. Usipende kuamini anayoyaongea rais wetu mpendwa, ayaongeayo mengi yana matatizo ya kiufundi na kiafya..
Kuhusu kumuangalia Lipumba ni bora niangalie nzi walivyo kizunguka kinyesi.
 
Baada ya muda utasikia tume ya kuchunguza mikataba ya mafuta ya gesi. Miswada inapitiswa kwa hati ya dharula hata hizi tume na ufumbuzi wake kama hati ya dharula
 
mkuu watu wanataka kanuni na sio dhana.Toa kanuni inayoruhusu hilo?
We unadhani kanuni zingevunjwa KUB Mbowe, wakili msomi Ole Milya na kamanda Silinde wangeshiriki kikamilifu vile? Si wangesusa kama walivyofanya wakati wa kuapishwa wabunge wa Cuf!.... Chezea chadema wewe?!!!
 
Back
Top Bottom