Recent content by bruno castol

  1. bruno castol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kumpenda msichana kiasi kwamba anakwambia ana mpenzi lakini wewe huelewi?

    Mimi nilikua hata nikiiona nyumba yao naridhika, hahahaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bruno castol

    JamiiForums Tanzania Arumeru: Jerry Muro awaambia wananchi kama hawataki kufuata sheria na kanuni za nchi basi wahame nchi

    naona alitaka kurusha ngumi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bruno castol

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya bilionea Msuya: Niliteswa mpaka nikahasiwa na Polisi na kuamua kumfukuza mke wangu

    Mimi nishawaonya wanangu nisimsikie hata mmoja anasema anataka kua askari polisi,
  4. bruno castol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikikumbuka hii mbinu niloitumia huwa nacheka sana

    Mwanamke ni kama kuku akiwaanatamia mtoe mloweke kwenye maji baridi mtoe kasahau kutamia na ataanza kutaga
  5. bruno castol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Mna nyodo sana
  6. bruno castol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hili ni goli au sio goli? Kama wewe ni mtaalamu wa soccer.

    Ushazidi nusu, gool hilo
  7. bruno castol

    JamiiForums Tanzania Je, sheria ya hotel levy kwenye nyumba za wageni bado ipo?

    Aiseee, mimi mwenyewe nilisikia hivyo, sasa siku naenda kukata leseni mpya yaliyonikuta ni majuto, deni na penati zake, na kwa sasa ikifika tarehe 7 hauajalipa faini pekee sh laki 2 kwa mwezi, manispaa ya ubungo
  8. bruno castol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Alisema nimtumie nauli sikutuma ameni block WhatsApp

    Pumbavu !!!!
  9. bruno castol

    JamiiForums Tanzania Kilichonikuta leo Ubungo Bus Terminal kimesadifu ukweli wa kauli ya Mh Donald Trump

    Pumbavu wewe, habari ndeeeeefu iliandikwa na jinga
Back
Top Bottom