Sindano ya uzazi wa mpango imeisha muda wake toka Novemba ila sijapata hedhi mpaka sasa

Kama hujazaa bado usithubutu kutumia hzo kitu, ni mbaya sana na madhara yake ni makubwa ikiwemo kutopata mimba hapo baadae. Tatizo mabinti mnadanganyana sana, leo utaona faida ya hzo sindano kwamba hupati mimba lkn wakati ukifika wa kutafuta mtoto ndo itakuwa majuto ni mjukuu, na mwisho wa siku upate kansa ya kizazi bure. Tumia kondom au kalenda mbona zinasaidia sana
 
Kila mtu atavuna alichopanda nakika jambo linafaida na hasara zake so bumilia tu.
 
wewe ni mtoto mdogo kweli kweli nikuonavyo hisiani kwa nini kukimbilia mibooo, watoto wa sasa ukimwi utawaua unaogopa mimba kuliko hiv? bora ungeshonea kondomu huko kyumani
 
Hakuna shida hapo, ulipoenda kupata hiyo huduma walipaswa wakueleze kuwa ukiacha inaweza kuchukua miezi 3-9 kurudi kwenye mzunguko wako wa kawaida.
 
Kweli nyie viumbe mnatofauiana
X wang alikua anatumia hzo dawa
Wakat alianza period week 2 haikat
Ya 3 imo tu hakuna kukata

Me nlimwambia unavuna ulichopandacz nlimwambia achana nazo akawa anachoma kwa cr
 
Cjui kwa nini hawajakujibu vizuri! Hawajui au sababu ni jukwaa ulilovamia. Kwa ufupi ni hormonal imbalance. Muone dakitari au kwa kifupi tu tumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa mda wa mwezi mmoja. Hali yako itarudi kawaida. Shukuru Mungu kwa kupata tatizo dogo wengine huteseka sana hadi mishipa ya fahamu. Madakitari hawasemi ukweli ila hakuna njia mbaya tena mbaya kama kutumia sindano.
Sawa daaah
 
Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Laiti wanawake mngejua Madhara ya hizo sindano/dawa za uzazi msingetamani hata kuziona.

Subiri zikuvimbishe ufike kilo 150 Ndio ujue faida yake
 
Back
Top Bottom