Recent content by BrownRange

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tunajifunza nini kuteuliwa kwa Waziri Mkuu wa Ufaransa mwenye miaka 34?

    Mbona Africa imetoa Marais wengi vijana kuliko huyo, hakuna jipya hapo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna mbunge yeyote anayeleta maendeleo, maendeleo huletwa na Serikali

    Acha waendelee kupigwa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna mbunge yeyote anayeleta maendeleo, maendeleo huletwa na Serikali

    Kwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo Naomba kuwasilisha
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

    Yupo sawa kabisa. La sivyo na vilabu vya mpira vianze kupewa ruzuku, kila mtu afaidi kwa upande wake
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika, ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari Nataka kununua kiwanja Cha kijana ambaye amefariki, yaani hakuwa na mke, Wala mtoto. Wazazi wake wameshafariki. Ana ndugu zake wawili waliozaliwa pamoja Ni taratibu gani zitumike ili mtu anunue kiwanja
  6. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kibada mpaka Kimbiji kupigwa lami

    Naona barabara ya MBEZI LUIS KWENDA MPIJI MAGOE bado inasahaulika
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uwe ba roho mbaya kiasi gani, utaondoka tu duniani

    Ujumbe wa leo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Mkuu milioni Saba unafungua kampuni ya clearing, duh unazijua gharama zake kuanzia mwanzo Hadi kuwa na ofisi, kuwa serious basi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Wakuu bado sijapata mtu wa kupatner mwenye wateja
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Ofisi ipo maeneo ya clock tower
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Ingia kwenye inbox yako
Back
Top Bottom