Recent content by brown mshani

  1. B

    Huu ni usaliti wa wabunge wetu

    kwakweli wamebore sikutazamia kuwa huu ndio mwisho walioutaka ambao ulifanya jana washimdwe kufikia muafaka au watuambie tu kuwa llimewashinda lakin c uamuzi kama huu ambao hauna mashiko.
  2. B

    Wagombea wa Urais 2015...

    unajielewe wewe? majina ya ccm uliotaja ayo naona kama ni vivuli tu, hakuna mtu wa ukweli apo. kati yote uliotaja kuna jina moja tu yaan lowasa ndie anaogopesha lakn wengne hamna kitu.
  3. B

    Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

    mhuu. umetumia assumption kwenye maelezo yako kama ndo mjibu. c vema kusema ivo ikiwa huna chanzo cha taarifa za uhakika
  4. B

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    hujaeleweka mkuu, ilikuwa mradi wa serikali. sasa uo mkadaba wa maji na mawazil4 wengi wanafanya ivo pia ko kwa kigezo hicho magufuli na mwakyembe wanafaa zaid
  5. B

    Sikubaliani na mgomo wa wafanyabiashara

    wewe mi nama huelewi bado kuhusv machine hizo, kusema eti walizoea ujanja wa kuiba uko nyuma c hoja, kinacholengwa hapo ni kunyonya kila kitu kinachozalishwa na wananchi(surplus). kwann hawataki wav waendelee jamani. wameshndwa kukusanya hela kutoka maliasili zinazoibwa, kuzuia mafisad bal...
  6. B

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    may be, but am not sure if tz wil be in jeopardy. the guarantee of our security is not determinined by zanziber but they are interdependent.. The move of zanziber concerning their constitution and flag it is enough alarm to this issue
  7. B

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    nadhani hili ni bora zaid kuliko serikal mbili. japo hatujui vizur maudhi yatakayo jitokeza lakin hili litakuwa na uhalisia fulan kuelekea watanganyika na wazanzibar
  8. B

    Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

    Anaweza kutoka akawa huru, lakini si chini ya jua hili linalowaka katika anga hili. asubili jua katika anga jingine
Back
Top Bottom