Recent content by Brown Kwacha

  1. Brown Kwacha

    Nikk Wa Pili ni mwaka wa 8 Sasa toka uimbe hautaki kazi

    Form 6 degree Hadi masters ukasema hauhitaji kazi.
  2. Brown Kwacha

    Kwa mwenye msaada wa kupata hiki cheti tafadhali

    Kwa mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata hiki cheti msaada wako unahitajika zaidi ya unavyofikiria. Kama ulishawi kuomba ukiwa nje ya nchi pia naomba unishauri nawezaje kukipata ingali nikiwa nje ya nje.
  3. Brown Kwacha

    Hivi tukiacha ushabiki ni lazima Diamond aangushe wasanii wengine ili aendelee kutamba?

    nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini. Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of...
  4. Brown Kwacha

    At their peaks,nani alikuwa mkali zaidi...Marlaw Vs Mb Dogg?

    MB alikuwa habari nyingine.
  5. Brown Kwacha

    Chanjo ya ndui inatukinga tusipate ndui na chanjo ya corona inatukinga na nini?

    Chanjo ya COVID-19 haikuzuii kupata ugonjwa bali inakusaidia kupambana na dalili kali za ugonjwa. Hili ni mosi. Hivyo haina maana Kama unachanjo hautapata ugonjwa. Kama umeweza kuifuatilia COVID-19 kwa ukaribu utakubaliana na mimi kwamba kabla ya chanjo tumepoteza watu wengi saana. Lakini...
  6. Brown Kwacha

    Mwanamke serios anaitajika

    Ajira ni hali ya muda tu....tunashindwa kulielewa hili.
  7. Brown Kwacha

    Mwanamke serios anaitajika

    Ndoa Zina mengi zaidi ya mtu kuwa au kutokuwa na Ajira. Mara nyingi utaweza kuishi na asiye na ajira. Ila vitabia ambavyo huwa tunaviona havina uzito Kama uongo, heshima, utu, uchafu, uvivu, kupenda kutoka nje ya mahusiano, mtu anavyopenda au asivyopenda ndivyo vyanzo vikuu kuvurugika kwa...
  8. Brown Kwacha

    Mwanamke serios anaitajika

    Huwa nashangaa saana hapa jukwaani kigezo kikuu Cha uchumba ni Ajira au financial stability. Ni Kama watu hawajawahi kuwa kwenye mahusiano.
  9. Brown Kwacha

    Kuendelea kusajili vyama vya siasa ni mbinu za CCM kuupunguza nguvu ya upinzani uliopo

    Wewe ungekuwa na chama halafu kikanyimwa usajili kisa Kuna wenye vyama vyao wanataka kuiondoa serikali madarakani ungejiskiaje? Tunapenda kutumia busara kufanya maamuzi Ila watu wengine wakiitumia hiyo hiyo busara kukufanyia maamuzi unaanza kusema Sheria zifuatwe.
  10. Brown Kwacha

    Mlochoma chanjo njooni mtupe mrejesho kwa hali ya sasa

    Unapochoma chanjo lazima uume...unaingiziwa antibiotics zenye nguvu saana mwilini na zinaenda kusisimua Kinga ya mwili. Na ukishachanja maranyingi ukipima baada ya siku kadhaa utakuta upo positive.
  11. Brown Kwacha

    Mlochoma chanjo njooni mtupe mrejesho kwa hali ya sasa

    Sijui....inabidi tufanye utafiti wa kisayansi. Ila hata mafua yalikuwa yakinishika yananipiga saana. Ila kwasasa ni afadhali.
  12. Brown Kwacha

    Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Kiingereza ni tatizo la Taifa. Hata wewe unalo. Hiyo sentensi yako inaonyesha. Andika kiingereza utakaponijibu ujione usivyojua kiingereza.
Back
Top Bottom