Recent content by brotherkaka55

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina kazi, mpenzi wala marafiki, napata mawazo ya kujiua

    Kwa kweli kijana umehangaika sana mwaka mmoja sio mchezo. Mimi nakushauri jiuwe maana hao wanafiki wanakwambia uvute subira wakati unayo dhamira yako ya kutangulia mbele ya haki.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

    Acheni kuwayumbisha vijana. Ni nani amewapa kibali cha biashara hiyo? wizara ya elimu wanajua? Je mnatoa risiti kwa malipo mnayopokea?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Mtumishi hewa ni hatari kuliko unavyodhani
  4. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Ni bora useme watanzania ni watu wa ajabu maana Tanzania ni zaidi ya watanzania.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nauza laini za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

    nipigie 0788115186
  6. B

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa kutoka kwa wakwepa kodi Azam ICD

    Hayo ni mawazo mgando hakuna tajiri atakaerudi juu ya mawe kama anasifa za kuitwa tajiri tatizo lenu ni pale mtu akiweza kufadhili timu ya mpira basi mnamwita tajiri
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini siku hizi watu hawapigani mitaani kama miaka ya 1980s?

    Kumbuka ukiwa mdogo rika yako ni ya wale vijana wagomvi hata hivyo bado kupigana kupo ila wewe tu ndio umekuwa mkubwa na unapigana na maisha ambapo wadogo zako wanapigana bado
  8. B

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity

    A day dream!
  9. B

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI KAZI WADAU YAANI MSINITUPE

    Pamoja sana
  10. B

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI KAZI WADAU YAANI MSINITUPE

    Thank u Kaveli
  11. B

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI KAZI WADAU YAANI MSINITUPE

    Natarajia kuwa msambazaji mkubwa wa vinywaji kwa bei ya jumla DSM kazi ambayo hadi sasa naifanya dukani kwangu. Ombi langu ni kwamba ukiwa na tukio lolote litakalohitaji vinywaji, piga 0716535134 utashauriwa pia namna ya kupunguza garama.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Frem za biashara na Magari sokoni

    Kwa mahitaji ya frem za biashara maeneo ya Manzese, Mabibo, Riverside au Ubungo Dar es salaam piga 0716535134 pia kama unahitaji gari ya kununua hapa umefika.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, waagize TAKUKURU waimulike Maxmalipo na waliopo nyuma ya kampuni hii

    Kwa nafasi yako kama mwananchi wa kawaida hapo umekwisha tumbua jipu ngoja sasa na wenye madaraka yao wayatumie.
Back
Top Bottom