Recent content by Brotherb

  1. B

    Sioni vita dhidi ya ufisadi ikifanikiwa

    Ningalikuwa mie ndo Jaji wa mahakama ya mafisadi ningejiuzuru maana nao ni ufisadi kula limshahara bils hata kufanya kazi. Kweli udisadi hauishi. Atakayeshitakiwa kuwa fisadi siku hiyo aombe mwongozo majaji watoe ufafanuzi kujua maana yake akilenga uwepo wao.
  2. B

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Mm hilo dogo, kuna mahala wanasimlia wakora kwamba kuna mshikaki wa govi.yaa I tohara ikifanyika zile govi huchomwa na mafuta halafu huuzwa kama vipande vya utumbo wa kuku na wa mbuzi. Jiangalie usikutane na vipande hivyo.
  3. B

    Pqta ushauri hapa wa matumizi ya vifaa vya kupozea

    Friji, air conditioner na freezer kuna namna yake ya matumizi na utunzaji ili vidumu. Hapa tuko kikazi na kitaaluma zaidi ili uokoe matumizi ya umeme na kudumisha kifss chako
  4. B

    Gwajima apingana na msimamo wa Serikali juu ya mji mkuu wa Israel. Asema Jerusalem ndio mji mkuu, ampongeza Spika Ndugai

    Yunapambania vyanzo tusivovijua. Ishi kwa imani kumtumikia Mwenyezi Mungu kwa mema acha ujuaji haileti wokovu hii misimamo.
  5. B

    Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

    Kweli umekuja nalo.songa mbele palipobakia
  6. B

    Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

    Njoo uangalie na jimbo la huku kwetu labda ndo utalia na kuishiwa pumzi. Bora huko kwa mpambanaji
  7. B

    Nahis mke wangu kapewa ujauzito na staff mwenzake na akautoa.

    Kama mimi namtundika mimba mpigompigo hata kazini asiende.mtosheleze tu maana kitu yake inabaki kama ilivyo tu
  8. B

    NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Ukabila wala ukanda hauhitajiki humu.na taifa letu linajulikana vita yake.foolish unayeuliza wa wapi.
  9. B

    NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Hivi mnaosema ni smart mliwahi kumsikia wapi huyo Felix Manyama Maagi? Sasa nawwambia hivi, Board iko makini kimteua huyu jamaa.na yeye yuko makiini kama board iliyomteua. Hongera lakini jifunze ule huruma na upole achana nao enzi hizi.
  10. B

    Nawaandikia wapinzani, yaani vyama vyote vya upinzani hapa Tanzania

    Faida ingineyo ya kugomea kuingi kinyang'anyiro cha uchaguzi ni _ kelele mitaani zitapungua bsada ya kumtsngsza mshindi adiye na mpinzani _ matokeo hayatangazwi usiku maana yatawahishwa _ foleni zitapungua za kusubiri kutumbukiza kura _ kazi za uzalishaji bado watu wataenda _ mawakala no...
  11. B

    Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Watu waongo kweli aisee, hilo daraja na barabara amelifanikisha akiwa Chadema au ccm. Sasa kuyakamilisha yaliyobaki atayakamilishaje akiwa nje ya nafasi yake? Nadhani ujazo huko ccm umetosha la sivyo wataanza kugombania nafasi halafu wakizikosa watudanganye tena kuw ccm ni wabinafsi. Kumbe nje...
  12. B

    Nilijifunza kwa baba yangu kuwa ni ngumu sana kuwa Mpinzani wa kweli Tanzania ukafanikiwa; huu ni ushahidi

    Nakumbuka kabla ya vyama hivi vya upinzani enzi hizi za 95 hadi leo kulikuwa na wapinzani wasikuwa na vyama na hawajuwa na usajili nao walijitumbukiza ktk magumu mengi. Vyama ni geresha tu wapinzani ni watu. Qanaorejea ccm z sio kama wameridhia bali wanajificha ndani humo kuwa kikulacho.wakalete...
  13. B

    Nilijifunza kwa baba yangu kuwa ni ngumu sana kuwa Mpinzani wa kweli Tanzania ukafanikiwa; huu ni ushahidi

    Upinzani ni sawa na kujitundika msalabani ili kila akuonaye akulilie na kukuhurumia. Ila kama umeamua kufa haraka usijinyonge we ingia tu upinzani tz
  14. B

    Tetesi: Sakata la magari 53 yaliyokutwa bandarini: Magari hayo ni ya EDIGALAN MASAKO

    Nchi ya wasiojulikana hii. Nashangaa baba wetu anawatuma watoto wachanga wafanye uchunguzi wakati anajua huwa hapatikani mtu na majibu yatakuwa yaleyale hatujashindwa bali tunaendelea na uchunguzi lazima apatikane. Baba wakikuchelewesha ita vyombo [emoji7] vya nje watakupa jibu siku nne sio...
  15. B

    Bashe na Masha, Kwa kauli zenu na yaliyotokea, kwanini msishtakiwe kwa Uchochezi?

    Acha hilo ni kubwa la kuhamasisha ns kusndaa watia virungu fikiria yule diwani wa ubungo (meya) alitiwa ndani eti walisikia tetesi, na wala sio maneno yake eti alijiandaa kuhamasisha vurugu wskati wa uchaguzi ameachiwa usiku wa manane sas 7.basda ya masaa 15. Mie nacheka tu kicheko cha...
Back
Top Bottom