Recent content by Brother Kaka.

  1. Brother Kaka.

    Natafuta kiwanja 20 kwa 20 dar au nje kidogo ya mji

    Natafuta Kiwanja 20 x 20 Bagamoyo mjini, kiwe jirani na makazi ya watu, bajeti yangu ni Milioni 2. Nb: Jaribio lolote la utapeli, likafanywe kwingine tafadhali.
  2. Brother Kaka.

    Ushauri: Nalazimishwa kulipa kodi kubwa kuliko mauzo yangu.

    Ikishindakana namna ingine itabidi nifanye hivi.
  3. Brother Kaka.

    Ushauri: Nalazimishwa kulipa kodi kubwa kuliko mauzo yangu.

    Huu ushauri nitauchukulia hatua kwa kweli.
  4. Brother Kaka.

    Ushauri: Nalazimishwa kulipa kodi kubwa kuliko mauzo yangu.

    Kwa mantiki hiyo, Kila mwaka kiasi cha kodi kitakuwa kinaongezeka ?
  5. Brother Kaka.

    Ushauri: Nalazimishwa kulipa kodi kubwa kuliko mauzo yangu.

    Wakuu, Mwaka jana nilianzisha kiofisi changu kidogo tu mtaani cha secretarial services (hasa kuprinti na kuscan kwani nilibaini kuwa nilipo ni njia kubwa ya wanachuo) baada ya kupata laptop refurbished, scanner na printer ndogo. Kwa kuwa sipendi migogoro, Nikaenda TRA nikakadiriwa kulipa...
  6. Brother Kaka.

    Naona dalili ya kudhulumiwa, nipeni mwongozo nipate haki yangu

    Natumai kuwa wengi ni wazima humu jamvini. Niende kwenye mada. Majuzi nilienda kununua TV duka fulani Kariakoo, Ikawashwa kwa majaribio na ikawaka. Nilipofika nyumbani nimeiwasha, imeonesha kwa nusu saa tu ikazimika na haikuwaka tena. Asubuhi nikarudi nayo kule dukani na kuwaeleza...
  7. Brother Kaka.

    Msaada: Gauni zuri la harusi ya Kiislam la gharama nafuu

    Waheshimiwa, Nisaidieni wapi naweza kupata gauni zuri la harusi (hasa yale za kihindi) ila yawe na stara ya kulandana na imani ya Kiislam. Kwa uwezo wangu naomba iwe kati ya elfu 50 hadi elfu 80. Najua wanawake nd'o watachangia vema sana hapa, Ingawa wanaume nao mnakaribishwa. Kwa mwenye...
  8. Brother Kaka.

    Vifaa vya Salon ya Kiume vinauzwa

    Karibuni.
  9. Brother Kaka.

    Line ya wakala Airtel Money inauzwa

    Bei ni 100,000/=. Karibuni.
  10. Brother Kaka.

    GPA ya 3.9 nimetemwa Master's Degree UDSM

    Nimesoma UDSM mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Brother Kaka.

    Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

    Umenipa mwanga mkuu. Nitajitahidi kufanya hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Brother Kaka.

    Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

    Nitaziangalia tena form. Ila kuhusu ufaulu si tatizo, Kwani sijawahi kupata C. Unanishauri vipi kuhusu kwenda kuulizia chuoni? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Brother Kaka.

    Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

    Sidhani. Maana'ke niliziona recommendations zao hazikuwa mbaya kwangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Brother Kaka.

    Nina GPA ya 3.9, nimetemwa Master's Degree UDSM

    Ushauri wako nauchukua 100%. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom