Tunakaribisha oda za kazi za sanaa na uchapaji- Printing, kwa logo/lebo/nembo za aina mbali mbali. Tunafanya ubunifu wa Logo/lebo/nembo mbali mbali kama za shule, makampuni, Vikundi vya kibiashara na kijamii, vyama vya kidini, vyama vya siasa n.k. Pia Tunachapa/Ku-print logo zilizobuniwa...