Recent content by BrkT

  1. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo usio na tija, maumivu yake ni majuto

    Hili limekua tatizo kubwa sana mkuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

    Kabisa maana naona kama tunabagua dhambi
  3. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Wazo zuri sana, nimevote
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Huyu Ndiye Aliyeutaka Urais 2015?

    Siku akiwa rais tujiandae kisaikolojia asee
  5. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

    Kamuulize sabaya atakupa jibu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

    Usimuhukumu maana wengi ndo tupo hivyo, utakuta mtu hali kitu fulani kwa sababu za kidini ila pombe na uzinzi kaweka mbele, unabaki kujiuliza labda kuna dhambi kubwa na ndogo (zinazosamehewa na zisizosamehewa)
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

    Bado mapema sana, akikutana na timu kubwa ndo tutajua panapovuja
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    HApo hawataweza kupata takwimu za uhakika kamwe, kuna watakao kua hawajahesabiwa siku za nyuma wataamkia sehemu ambazo wameshahesabiwa, Data zitakazopatikana hazitakua sahihi
Back
Top Bottom