Mwigulu Huyu Ndiye Aliyeutaka Urais 2015?

Peter Mwaihola

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
289
Reaction score
489
"Mwigulu Nchemba Rais 2015" ni nukuu iliyotikisa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 nchini Tanzania.

Maandishi ya nukuu hii yalisomeka kila Kona ya nchi kutoka Tunduma hadi Namanga, kutoka Horohoro mpaka Tunduru iliandikwa kwenye madaraja, mabango na kwenye majabali makubwa.

Hata baada ya Uchaguzi kupita maandishi hayo yalibaki na mengine yanasomeka mpaka leo katika maeneo mbalimbali nchini.

Maandishi haya yanadaiwa kuandikwa na waliokuwa wafuasi na wapambe wa Mwigulu Nchemba ambaye hivi Sasa ni Waziri wa fedha na mipango.

Mwigulu aliwania Urais kupitia chama cha Mapinduzi, CCM ingawaje alienguliwa katika mchujo na hapo ndipo ndoto yake ya kuupata urais wa awamu ya tano ikayeyuka.

Ni Mwigulu huyu huyu mwenye Udaktari wa falsafa ya uchumi ambae amekua akiteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali za uwaziri kutokana na kidumu ndani ya bunge akiwa Mbunge wa Jimbo la Iramba magharibi lililopo mkoani Singida.

Ingawaje ukimfuatilia kwa umakini alivyo Sasa kiutendaji itakupa ugumu kuamini kuwa huyu ndiye Mwigulu aliyepigiwa upatu awe Rais 2015.

Mwigulu mwenye sifa ya kujiamini, ndiye jabari hasa aliethubu kupambana na vijana waliosimama kupinga uanzishwaji wa tozo kwenye miama ya simu.
Jabari lisilo anguka kule kwao wanaita "Ng'ongo" limesimama halitikisiki.

Pasipo kupepesa macho Mwigulu anawambia vijana wakubali kuumia kwa ajili ya taifa lao na kulipa Kodi huku akisisitiza "Asiye kubali tozo ahamie Burundi".

Mwigulu mwenye muonekano wa kimavazi ya uzalendo hata Maneno ya kinywa chake yanatamka neno uzalendo Kama silaha akisema "Watanzania wamezikubali tozo, vijana tuwe wazalendo tuzikubali tozo".

Wakati huo huo ni Mwigulu huyu huyu aliyethubutu kuongeza tozo za Miamala ya kibenki angali bado Kuna tozo kibao zinazo lalamikiwa na Wananchi.

Usisahau kuwa Mwigulu bado ni yule yule aliyeutaka urais 2015 bado hajabadilika.

Usifike mbali kwa na kuanza kujiuliza angebahatika kuchaguliwa kuwa Rais 2015 hali ingekuwaje, achana na hilo wazo wewe unapaswa kukumbuka kuwa Mwigulu huyu ndio yule aliyeutaka urais 2015.

Peter Mwaihola
1661600229638.jpg
 
View attachment 2336360
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
huyuhuyu mkuu hujakosea.
 
Tatizo sio TOZO tatizo unawatoza nani,% kubwa ya vijana hawana ajira wanaunga unga kwa ujanja wa mjini,haya hata kwa wa2 wazima bado ama wa2 walioajiriwa bado kipato kidogo,twende moja kwa moja gharama za maisha nazo hazikamatiki,hapo kila siku unawaza uje na tozo ipi,ila muda utafika tutakufa tu koz hapa sio sehemu ya kuishi,sio salama kabisa,maana dak ya mwisho itakuja TOZO ya kila mwenye 18+ kulipa kodi,ina maana unalipia mpaka miaka yako kwenye nchi hii hii ambayo babu zetu wote babu yangu na yake walikuwa wanapigania kuwatoa wakoloni kwa ajili ya vizazi vijavyo ambavyo ndo sisi na hao wanaokuja,ama yeye/wao wana uhakika wa mishahara yao,bas uzalendo uwe mzuri wapunguze hata 50% ya mishahara yao tujue wenzetu wapo pamoja nasi na si kuleta mavitu mazito kwenye maisha yetu.
 
"Mwigulu Nchemba Rais 2015" ni nukuu iliyotikisa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 nchini Tanzania.

Maandishi ya nukuu hii yalisomeka kila Kona ya nchi kutoka Tunduma hadi Namanga, kutoka Horohoro mpaka Tunduru iliandikwa kwenye madaraja, mabango na kwenye majabali makubwa.

Hata baada ya Uchaguzi kupita maandishi hayo yalibaki na mengine yanasomeka mpaka leo katika maeneo mbalimbali nchini.

Maandishi haya yanadaiwa kuandikwa na waliokuwa wafuasi na wapambe wa Mwigulu Nchemba ambaye hivi Sasa ni Waziri wa fedha na mipango.

Mwigulu aliwania Urais kupitia chama cha Mapinduzi, CCM ingawaje alienguliwa katika mchujo na hapo ndipo ndoto yake ya kuupata urais wa awamu ya tano ikayeyuka.

Ni Mwigulu huyu huyu mwenye Udaktari wa falsafa ya uchumi ambae amekua akiteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali za uwaziri kutokana na kidumu ndani ya bunge akiwa Mbunge wa Jimbo la Iramba magharibi lililopo mkoani Singida.

Ingawaje ukimfuatilia kwa umakini alivyo Sasa kiutendaji itakupa ugumu kuamini kuwa huyu ndiye Mwigulu aliyepigiwa upatu awe Rais 2015.

Mwigulu mwenye sifa ya kujiamini, ndiye jabari hasa aliethubu kupambana na vijana waliosimama kupinga uanzishwaji wa tozo kwenye miama ya simu.
Jabari lisilo anguka kule kwao wanaita "Ng'ongo" limesimama halitikisiki.

Pasipo kupepesa macho Mwigulu anawambia vijana wakubali kuumia kwa ajili ya taifa lao na kulipa Kodi huku akisisitiza "Asiye kubali tozo ahamie Burundi".

Mwigulu mwenye muonekano wa kimavazi ya uzalendo hata Maneno ya kinywa chake yanatamka neno uzalendo Kama silaha akisema "Watanzania wamezikubali tozo, vijana tuwe wazalendo tuzikubali tozo".

Wakati huo huo ni Mwigulu huyu huyu aliyethubutu kuongeza tozo za Miamala ya kibenki angali bado Kuna tozo kibao zinazo lalamikiwa na Wananchi.

Usisahau kuwa Mwigulu bado ni yule yule aliyeutaka urais 2015 bado hajabadilika.

Usifike mbali kwa na kuanza kujiuliza angebahatika kuchaguliwa kuwa Rais 2015 hali ingekuwaje, achana na hilo wazo wewe unapaswa kukumbuka kuwa Mwigulu huyu ndio yule aliyeutaka urais 2015.

Peter Mwaihola
View attachment 2336360
Mungu atuepushie hili..... Utakuwa msiba mwingine kwa watanzania waishio chini ya msitari wa ufukara !
 
Huyu Fala kapewa dhamana na wanairamba miaka 15 ya ubunge jimboni kwao, lakini hata leo ukifika jimboni kwake barabara ya Kizaga Ndago Singida ni kero kubwa kwa wana iramba tangu uhuru haina lami.

Ni full vumbi kama kigoma ujiji[emoji23][emoji119] Ameshindwa kutatua hii kero iliyo wasumbua sana wananchi wake pamoja na kupewa dhamana ya miaka yote hiyo bungeni,

Wanyiramba ni makolo aisee majimbo mengine angelishapigwa chini kitambo tu, ila tatizo lingine la wa Tz ni mkate na kofia [emoji23][emoji119] mbunge kama hasikilizi kero zenu huyo mbunge ni wa nini sasa piga chini huko chagua mwingine mambo mengine una kua na maamuzi magumu ya kishujaa basiii[emoji855]
 
Ndago-Mbelekese--usure-Singida hii barabara kwa sasa muda wowote inatandikwa mkeka.Kati ya wabunge ambao Wanyiramba huwaelezi chochote ni huyo chunguza idadi ya kura za maoni 2015,,,,,"uwe mbwanee we mubiyi[emoji13][emoji13][emoji13]
Screenshot_20220714-190847.jpg
JamiiForums-2114461706.jpg
 
"Mwigulu Nchemba Rais 2015" ni nukuu iliyotikisa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 nchini Tanzania.

Maandishi ya nukuu hii yalisomeka kila Kona ya nchi kutoka Tunduma hadi Namanga, kutoka Horohoro mpaka Tunduru iliandikwa kwenye madaraja, mabango na kwenye majabali makubwa.

Hata baada ya Uchaguzi kupita maandishi hayo yalibaki na mengine yanasomeka mpaka leo katika maeneo mbalimbali nchini.

Maandishi haya yanadaiwa kuandikwa na waliokuwa wafuasi na wapambe wa Mwigulu Nchemba ambaye hivi Sasa ni Waziri wa fedha na mipango.

Mwigulu aliwania Urais kupitia chama cha Mapinduzi, CCM ingawaje alienguliwa katika mchujo na hapo ndipo ndoto yake ya kuupata urais wa awamu ya tano ikayeyuka.

Ni Mwigulu huyu huyu mwenye Udaktari wa falsafa ya uchumi ambae amekua akiteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali za uwaziri kutokana na kidumu ndani ya bunge akiwa Mbunge wa Jimbo la Iramba magharibi lililopo mkoani Singida.

Ingawaje ukimfuatilia kwa umakini alivyo Sasa kiutendaji itakupa ugumu kuamini kuwa huyu ndiye Mwigulu aliyepigiwa upatu awe Rais 2015.

Mwigulu mwenye sifa ya kujiamini, ndiye jabari hasa aliethubu kupambana na vijana waliosimama kupinga uanzishwaji wa tozo kwenye miama ya simu.
Jabari lisilo anguka kule kwao wanaita "Ng'ongo" limesimama halitikisiki.

Pasipo kupepesa macho Mwigulu anawambia vijana wakubali kuumia kwa ajili ya taifa lao na kulipa Kodi huku akisisitiza "Asiye kubali tozo ahamie Burundi".

Mwigulu mwenye muonekano wa kimavazi ya uzalendo hata Maneno ya kinywa chake yanatamka neno uzalendo Kama silaha akisema "Watanzania wamezikubali tozo, vijana tuwe wazalendo tuzikubali tozo".

Wakati huo huo ni Mwigulu huyu huyu aliyethubutu kuongeza tozo za Miamala ya kibenki angali bado Kuna tozo kibao zinazo lalamikiwa na Wananchi.

Usisahau kuwa Mwigulu bado ni yule yule aliyeutaka urais 2015 bado hajabadilika.

Usifike mbali kwa na kuanza kujiuliza angebahatika kuchaguliwa kuwa Rais 2015 hali ingekuwaje, achana na hilo wazo wewe unapaswa kukumbuka kuwa Mwigulu huyu ndio yule aliyeutaka urais 2015.

Peter Mwaihola
View attachment 2336360
Siku akiwa rais tujiandae kisaikolojia asee
 
Hata Jangwani kwenyewe hatumtaki. Anaweza akatuvuruga wanachama na mashabiki kwa sera zake mbovu za tozo.

Singida Big Stars inamtosha. Aende akawaanzishie tozo za alizeti ili kuwalipa Wabrazil wake.
Kwa uzoefu wako Singida Big Star itakufa mwaka gani?
 
Back
Top Bottom