Recent content by Brightman Jr

  1. Brightman Jr

    Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    HIV wakiingia mwilini mwa mtu hata atumie ARV zaidi ya miezi sita mtu huyo akipima ataonekana ni Positive tu
  2. Brightman Jr

    Dawa ya H.I.V

    Yesu alisema; simama uende, imani yako imekuponya. Kwa hiyo ukiamini yote yanawezekana kwa MUNGU aliye hai.
  3. Brightman Jr

    Msaada: Naruhusiwa kunyonya ziwa baada ya muda gani?

    Ushauri wa bure hayo mwachie mwanao afu wewe tafuta ng'ombe ndo uwe unamnyonya yale matiti yake ni matamu na utaenjoy kisha lete feedback hapa jukwaani.
  4. Brightman Jr

    Hii ni kweli kuhusu tiba ya UKIMWI?

    Be careful matapeli siku hizi kila kona wapo. Ukizubaa kidogo tu umeliwa.
  5. Brightman Jr

    Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    Hakuna tatizo mbona...!! Hata baba wa Taifa kuna hotuba moja nilimsikia wakati anazungumzia suala la rushwa alisema "mtoa rushwa na mla rushwa wote majiganyanga wote watapata msukosuko...". Mbona hamkuhoji hiyo hotuba,? acheni Rais wetu afanye kazi kwa uhuru jamani.
  6. Brightman Jr

    Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    HONGERA SANA RAIS WANGU MAGUFULI KWA KUPATA KURA ZOTE ZA KUWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA.
  7. Brightman Jr

    Kati ya Wanafunzi 7,805 waliofukuzwa UDOM, ni 382 tu ndio wenye sifa

    Safi sana Prof piga kazi maana elimu ilikuwa inaelekea kubaya saana.
  8. Brightman Jr

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Hongera wote mlioteuliwa chapeni kazi jamani nchi isonge mbele.
  9. Brightman Jr

    Walimu wenye vyeti feki watakiwa kujisalimisha kwa hiari kabla ya shuruti

    Hapa ndo penyewe sasa; yaani wanaotumia vyeti visivyo vyao ni wengi aisee. Kuna VEO mmoja na Mwl mmoja ninataarifa zao wanatumia vyeti si vyao. HAPA KAZI TU hadi waishe wote.
  10. Brightman Jr

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Mahali nchi ilipokuwa Rais anatakiwa awe mkali ili watu waliozoea kupora nchi hii waone kuwa sasa si mchezo. Namuunga mkono Rais wangu Dr. Magufuli.
  11. Brightman Jr

    Mbeya: Watumishi 11 wasimamishwa kazi kwa kuwa na vyeti feki vya Kidato cha Nne

    Vyeti feki vipo vingi mno kuliko hata watumishi hewa. Msako uendelee
Back
Top Bottom