Dawa ya H.I.V

Juntazy

Senior Member
Oct 4, 2016
104
109
Hivi kuna ukweli wowote juu ya hawa Maoskofu kuwatibu watu virusi vya H.I.V mara nyingi nimekuwa nikiwashuhudia watu wakidai kuwa walikuwa na virusi na baada ya maombi wakapoa kabisa!
 
Kuna mwathirika yeyote ambae wewe unamfahamu ameshawahi tibiwa na hao watu akapona? Kama hakuna Usiumiza kichwa...wapiga Dili Hao hawamuogopi hata Mungu.
 
Hivi kuna ukweli wowote juu ya hawa Maoskofu kuwatibu watu virusi vya H.I.V mara nyingi nimekuwa nikiwashuhudia watu wakidai kuwa walikuwa na virusi na baada ya maombi wakapoa kabisa!
Kwa hali ya kawaida hakuna kitu kama hicho, ila kiimani inawezekana asilimia 100% ,it depends on how you operate your powers from within, kwa imani kila kitu kinawezekana, na imani haswaa isiyo na chembe ya mashaka
 
Mim najua mtu aliepona kwa maombi kanisan kwetu wala sio kwa kuona kwenye tv ameoa sasa na anamke na watoto manabii wa uongo wapo lakn haimaanishi waukweli hawapo
 
Aliyekwambia mwenye H.I.V haoi na kuwa na familia ni nani?

Hizi habari siziamini hata kidogo labda nimuone mtu ninayemjua tena nithibitishe kuwa laikuwa nao ndio nitawaamini hao maaskofu wenu.

Wengi wanajifanya wema na watu wa Mungu kwenye macho ya watu ila wakiwa mbali na jamii wao ndio wazinzi na wao ndio wadhambi zaidi yetu.
 
Yah wanaoa najua bt huyu kaoa baada ya kua negatv anamajibu yote ya positive before na negative kuhsu maaskof wa uongo wapo najua lakn sio wote wa uongo kuna waukweli
 
Hivi kuna ukweli wowote juu ya hawa Maoskofu kuwatibu watu virusi vya H.I.V mara nyingi nimekuwa nikiwashuhudia watu wakidai kuwa walikuwa na virusi na baada ya maombi wakapoa kabisa!
Ni uongo mtupu Hakuna hata Askofu mmoja anaye weza kumtibia wagonjwa wa Ukimwi aka mwenye AIDS/HIV ni uongo mtupu wanawapanga hao wanao waita ni wagonjwa wa Ukimwi na kuwaombea dua na kusingizia eti wamepona Maradhi ya Ukimwi .Kama ni kweli Ma-Askofu wanao uwezo wa kuwatibia Wagonjwa wa ukimwi waende Hospitali ya Taifa Muhimbili kuwaombea Wagonjwa Ukimwi ili waweze kupona? Wakiweza kuwaponyesha wagonjwa wa ukimwi waliopo Hospitali ya Taifa ya rufaa ya Muhimbili nitaweza kuwa amini kama nikweli wanaweza kuwaponyesha wagonjwa wa ukimwi.Na sio kazi rahisi Wagonjwa wa Ukimwi wanaweza kupona kwa kutumia dawa za Asili matunda mboga za majani na Lishe ya chakula kinachotoka mashambani Wakitumia hivyo wataweza kupona dawa za Asili zinaponyesha Maradhi ya Ukimwi,Saratani,Hepatitis B Virus,Maradhi ya Figo na Maradhi mengine yasiyoweza kutibika Ma-Hospitalini.
 
Yesu alisema; simama uende, imani yako imekuponya. Kwa hiyo ukiamini yote yanawezekana kwa MUNGU aliye hai.
 
Back
Top Bottom