Recent content by Brian72

  1. Brian72

    Nitajuaje Kama Niko kwenye list Credit Reference Bureau Tanzania?

    Kiazi Kitamu upo Dar au mkoa gani?, kama upo Dar nikuelekeze ofisi yao CRB ilipo uwatembelee.
  2. Brian72

    Nimewekwa kwenye blacklist NMB

    Yani hapo hukutakiwa kuchukua advance against salary sababu ulishafanya process ya kuhama kwao na kuhamia benki nyingine. Mbaya zaidi baada ya kupokea salary hukulipa deni kwao kabla akaunti yako haija overdraw.
  3. Brian72

    Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili

    Unajua riziki anatoa Mungu, sasa kama umekuwa ukimpinga Mungu na kutokuwa na upendo kwa watu, kibao kinakugeukia. Waombee watu mema nawe pia ujaaliwe mema. Upendo ndio amri kuu ya Mungu kuliko amri zote.
  4. Brian72

    Nimedisco baada ya kukamatwa namfanyia mtihani Mwanafunzi mwenzangu

    Deni lako la mkopo wa chuo jipange kuanza kulilipa.
  5. Brian72

    Msaada: Dada yangu anaangamia kwa ugonjwa Saratani ya Ini, damu na titi

    habari mkuu, vp maendeleo ya sister? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Brian72

    Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

    Karibu tukuuzie Case trekta 75hp 4wd. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Brian72

    Ni Trekta Gani Bora Kati ya New Holland na John Deere

    Case 75hp 4wd. Bei cash tsh 49.5mn. Mkopo unatanguliza tsh 25mn unapewa mwaka 1 kulipa.
  8. Brian72

    Ni Trekta Gani Bora Kati ya New Holland na John Deere

    Case Tractor na New Holland mtengenezaji ni mmoja. Injini IVECO kwa 75hp 4wd.
  9. Brian72

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Bavaria..mkuu naomba contact yako ya simu ktk inbox yangu..nahitaji support yako.
  10. Brian72

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mkuu ONTARIO ni App ipi ya demo naweza kuidownload na ktk simu yangu ili niweze kujifunza..
  11. Brian72

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    very interesting mkuu..
Back
Top Bottom