Recent content by breaky

  1. B

    Udalali(broker)

    Ofisi yetu imeanza rasmi 1September,2020
  2. B

    Udalali(broker)

    Tuna leseni ya jiji na ya wizara ya fedha! Hakuna kibali kinakosa
  3. B

    Udalali(broker)

    Asante sana kwa ushauri kaka.hicho nikitu cha kwanza kushughulikia
  4. B

    Udalali(broker)

    0782396666 0746239498
  5. B

    Udalali(broker)

    Tumeanza kazi kama broker wa viwanja,magari na nyumba za kupanga katika jiji la Arusha. Gharama zetu ni ni nafuu sana,kwenye upangaji wa nyumba mpangaji anachangia 40% hadi 50% ya kodi ya mwezi, ili kurahisisha mambo tumeandaa form ambazo mteja atajaza sifa za nyumba anayoitaka,maeneo ambayo...
  6. B

    Nimeshasajili kampuni LTD ya udalali wa Nyumba za kupanga/kuuza, viwanja na mashamba. Naomba ushauri

    Kitu cha kwanza achague jina atakalotumia,name search (Brela) * Atafute mwanasheria amwandalie Memo and Article Association atapeleka brela na kulipia gharama ambazo ziko kwenye website ya Brela. Ila kama ni udalali tu ningeshauri asajiri tu jina la biashara then atafute leseni na kuanza kupiga kazi
  7. B

    Mwenye kujua jinsi ya kupata TIN Number online

    Na Ule muhuri wa moto unagongewa stationary?
  8. B

    Real estate broker

    Biashara ya kupanga nyumba na kupangisha nyumba imeendelea kuwa na changamoto kadri siku zinavyoenda. Nyakisasa Empire Ltd imejaribu kuja na mbinu ambayo itapunguza kero kwa wapangaji na wenye Nyumba. Tunatoa form ambayo mpangaji atatujazia kuelezea mahitaji yake,pia tunaingia mikataba na wenye...
Back
Top Bottom