Udalali(broker)

breaky

Member
Aug 29, 2013
79
25
Tumeanza kazi kama broker wa viwanja,magari na nyumba za kupanga katika jiji la Arusha.
Gharama zetu ni ni nafuu sana,kwenye upangaji wa nyumba mpangaji anachangia 40% hadi 50% ya kodi ya mwezi, ili kurahisisha mambo tumeandaa form ambazo mteja atajaza sifa za nyumba anayoitaka,maeneo ambayo angependa kuishi na muda ambao angependa kuhamia,hiyo inaturahisishia na kumsaidia mteja kupata nyumba ya ndoto yake bila kuzunguka.

Shughuli zote zinafanywa chini ya kampuni,kwa hiyo hakuna utapeli wala ubabaishaji.
Kama una changamoto katika huduma hizo usisite kuwasilina na sisi.
 

Attachments

  • IMG-20200921-WA0006.jpg
    IMG-20200921-WA0006.jpg
    30.8 KB · Views: 6
Mmeshasajiri kampuni lakini leseni ya kufanya biashara hamna
 
Back
Top Bottom