Recent content by Breakluge

  1. Breakluge

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais, zimwi linaitesa Serikali ni watu wako wa ndani. Ask why?

    Kwa hiyo uko upande wa wauaji? Unataka siri ya mauaji itunzwe?
  2. Breakluge

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Kisena alikuwa akiiibia UDART namna hii...

    Huwezi hata kutunga uongo.lini mafuta yaliuzwa kwa 1800? Umeshindwa nn kufanya utafiti mdogo bei waliyokuwa wakijazia mafuta? Waliwezaje kufanya yote hayo vyombo vya serikali vikiwepo? Unachofanya ni ujinga na kuoutsmart serikali yako.poor
  3. Breakluge

    JamiiForums Tanzania Wanaomfadhili Lisu hata kwa Tshs. 1 tuwamulike jicho la tatu

    Mbona unataka watibu dalili za ugonjwa baaada ya ugonjwa wenyewe? Kama hao unaodai wanamfadhili ndo walimsababishia hayo matatizo aliyopata,ilikuwa kazi ya vyombo vya usalama kuclear doubt? Mtu ameumizwa, anahangaika mwenyewe kujitibu,mnaibuka na hoja dhaifu dhaifu tu!
  4. Breakluge

    JamiiForums Tanzania USAHIHI; Dr. Bashiru Ally usipotoshe umma

    Kupigwa risasi maeneo ya bunge ndo kutakuza uchumi? Yuko huko aliko kwa sababu ya waliomsababishia.Tatizo ni waliofanya kitendo hicho sio Lissu.
  5. Breakluge

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hazina yetu sio salama kabisa

    Kwani ameanza awamu hii? Zitto anawapeleka puta eee?
  6. Breakluge

    JamiiForums Tanzania Harakati za fao la kujitoa

    Mbona hatari!
  7. Breakluge

    JamiiForums Tanzania PPF (PSSSF) wanena: Fao la kujitoa sio 100% tena wanachama kulipwa kiduchu...

    Fomu hizo zimetoka lini asee?
  8. Breakluge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

    Walikuwa wanaendesha training kwa vikosi vya kenya,lilivyotokea hilo tukio wakaombwa,hakua mmoja tu bali walikuwepo wengine.
  9. Breakluge

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Wilaya ya Mbeya Mjini, Raphael Mwaitege, ajiuzulu

    Sababu ni vitisho au sera?
  10. Breakluge

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli ashuhudia Utiaji Saini kati ya Serikali na BHART Airtel. Airtel kutoa bilioni 1 kila mwezi kwa miaka 5 kusaidia huduma za jamii

    From 100% to 49%what went wrong? Kwa hiyo sio yetu tena? Mambo ya biashara mmeshasema tutapata kiasi gani cha faida? Naomba msituaminishe sana!
  11. Breakluge

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Mamlaka ya Bandari auawa na ‘houseboy’ kisa mafao

    Habari haieleweki
  12. Breakluge

    JamiiForums Tanzania M/kiti wa BAVICHA Jimbo la Ilala, Michael Ernest Kapama atoweka kwenye mazingira ya kutatanisha...

    Hujui taaarifa zinatolewa wapi mtu akipotea?ukiitwa zwazwa utalalamika?@Ndumbayeye!
Back
Top Bottom