ni kweli kabisa ila kama una digree ya mfukon kaz huna,pesa huna,huna hata wazo lolote,digree yako hapo inakusaidia nini?wapi watu kibao mtaani hawajasoma digree lakin wana Mawazo mkubwa na maendeleo makubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.