Recent content by brayhuss

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nikipata moja ntashukuru sana Niko mbeya
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mwenye laini ya chuo ya Voda pls
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chagua Salum Mwalimu kwa Maendeleo ya wanahabari Tanzania

    Anawakilisha jimbo la wana kinondoni au waandishi??? Kwa hiyo wananchi tusimpe support?? Apewe support na waandishi kwa vile ni muandishi au ni bora katika wagombea?? Hizi siasa za maccm na macdm ni hovyo.. Haya yamechukua aliekimbia kazi halafu hawa wamemfata looser wa huko zanzibar...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Ujumbe wa Rais Magufuli ni kunitaka nirejee CCM, ila nilikataa

    Karatasi haina muhiri au macho yangu
  5. B

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli: Kiongozi pekee barani Africa mwenye hotuba zenye mvuto zaidi kwa wananchi wake kwa sasa

    Nadhani suala la toba ni mtu na Mungu wake wala sio public...... Ifike mahali tuelewe na hekima ichukue nafasi yake.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serikali na TRA, mnaweza kuwezesha utoaji wa risiti za VAT kwa njia ya mobile SMS. I stand to be corrected

    Voda wameweka huduma ya kulipa kwa Mpesa baadhi ya sehemu hata shelly. Hatuoni pia its possible kwa kila mtu mwenye duka awe na huduma hiyo tena isimamiwe na wakala wa serikali TTCL MONEY waanzishe maana issue ni line tu ya uwakala anapewa kila mwenye duka...... Ifanyike ivo kila sehem hata km...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CCM & CHADEMA + vyama vyote vya siasa tafakarini hili

    Kwa kipindi cha siku kadhaa kumekuwa na hali ya kurushiana vijembe kutoka pande mbili za siasa yaani chama tawala na upinzani baada tu ya Lazaro Nyarandu kuhama chama. Napenda nitoe mtizamo wangu kwa kujiuliza haya.... CCM 1. Ya nini kumsemea nyalandu ubaya baada tu ya kuondoka? 2. Kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania ACACIA acheni huu ukatili

    Too bad
  9. B

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Ye si alisema haiogopi serikali wala polisi? Akomae sasa kigumu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Kama yuko halali uoga wa nn?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    Mkuu na Mimi ntumie via braysonmlemwa@gmail.com
Back
Top Bottom