Recent content by brawn shao

  1. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Kodi mpya ya Majengo kupitia LUKU inatakiwa kulipwa na Mmiliki wa Jengo na sio Wapangaji wa Jengo

    Lakini pia kuna nyumba zenye mita zaidi ya moja, je huoni huu ni wizi pia? Maana nyumba moja wataka kodi kwa kila luku.
  2. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Kabla sijakujibu naomba nami nikuulize,, S G inajengwa kwa fedha za kina nani? kama sio hao hao wafadhili? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    option waliyotoa hujaiona? Soma tena kwa utulivu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwili wa mtu aliyefariki wakutwa mferejini ukiwa umefungwa kwenye kiroba

    ungemwendea inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  5. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwili wa mtu aliyefariki wakutwa mferejini ukiwa umefungwa kwenye kiroba

    Ataachaje siasa wakati kuna mwanasiasa haonekani takribani week 2 now? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Daladala Morogoro zimegoma kupakia abiria

    Watu wanaenda kufuatana na mabadiliko ya kimazingira ama teknolojia, sio lazima MTU akae stand masaa kibao kusubiria gari ijae ilihali anahitajika haraka sehemu husika. Bajaji zimekuwepo kwa sababu ya uhitaji kama daladala zilivyokuwa zinahitajika hapo kabla. Ila serikali nayo ndio inayochangia...
  7. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Daladala Morogoro zimegoma kupakia abiria

    Hata sisi bajaji tunalipia Sumatra, bima,ushuru wa parking, stika ya manispaa, posho kwa bosi n.k je kwani sisi sio watanzania kama nyie? Hatuna majukumu kama nyie? Acheni wivu, uvivu,husuda na roho za chuki kwa wenzio.
  8. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Traffic polisi stendi kuu Arusha hongereni kwa time management

    Safari njema watanzania wenzangu
  9. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya sasa sio ya kuokota/ kununua kwa mtu simu aina ya smartphone; ni bora ukaokota 'Nokia Tochi'

    Siyo smart phone tu hata nokia za tochi zinafuatiliwa pia
  10. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Fastjet hali tete; wateja walalamikia kushindwa kupata huduma zaidi ya siku mbili

    Lazima tuifuatilie serikali maana ni kodi zetu... Hao fastjet mbona walikuwa fresh tu kabla ya hizi njiwa za Magu? Natamani fastjet isitishe safari zake zote ili tuone hivyo vinjiwa vya Magu vitakavyowajibika Brawn Shao
  11. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

    Njoo Ttcl Kubwa lao Brawn Shao
  12. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Watalaam Wa Fasihi Tutafisilieni Wimbo Wa Mrisho Mpoto Wa "kitendawili"

    Tangu mpoto apate nauli ya kwenda kwa MJOMBA hakurudi tena kutuletea mjeresho.... Brawn Shao
  13. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Swali Kasirishi: CHADEMA na Upinzani Hawampingi Magufuli kama Lissu?

    Ni mambo gani alofanya Mtakatifu wenu ambayo yanawanufaisha watanzania wa hali ya chini. Ni jambo gani amelifanya kama rais lenye tija kwa Taifa? Anza kuorodhesha. Brawn Shao
  14. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Swali Kasirishi: CHADEMA na Upinzani Hawampingi Magufuli kama Lissu?

    We huoni wajasiri ni wachache kuliko waoga? Brawn Shao
  15. brawn shao

    JamiiForums Tanzania Huu upendeleo na ubinafsi wa CHADEMA hawawezi kubaki salama

    Ni matusi yapi alotukanwa huyo Mtakatifu uchwara wenu? Brawn Shao
Back
Top Bottom