Recent content by bravofau2

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Mm naona maamuzi haya yametoka kwa sababu aliyechafua hali ya hewa hayupo. Kiukweli angekuwepo na labda akawa madarakani usingeskia hii hukumu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba: Rais Samia anavipa Vyama vyote nafasi sawa

    Baba Kabudi, Tatizo tulilo nalo ni hilo, kwamba rais ana mamlaka ya kufanya chochote juu ya vyama vingine vya siasa, bila hisani yake basi mambo yake hayaendi. Kwanini useme rais anawapa wote nafasi sawa? Kwann hujasema msajiri anavipa vyama nafasi? Watu wote kila siku wanasema Madhila...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, influence ya Freeman Mbowe ndani ya chadema ni amazing sana.

    Kiukweli lazima pawepo taharuki kutokana na ukimya wake. Sio kwamba tunamlaumu, lakini pia ujue pamoja na yale aliyoyasema kuelekea uchaguzi bado kwa historia yake ndani ya chama alipaswa kufanya zaidi hasa ukizingatia chama kinachoyapitia. Haya yanayoendelea Mbowe amewafanyia makusudi wenzake...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua maumivu ya mtu aliyepambana miaka yote kujenga maisha yake halafu aambiwe mali zigawanywe ?

    Hivi ni kweli kwamba wote tumejua chimbuko halisi au tunahukumu tu kwa kuskia kila mtu chenye anasema? Kwa mfano wewe mleta mada, unawajua hawa jamaa kwa kiwango gani? Jamaa ametafuta mali alizonazo kwq kwa muda gani? Je, alipopata mali tunazoambiwa walitaka kuzigawana ndio akaoa? Wangapi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na utimamu wa kihisia na kiakili, maneno ya mwisho ya Tundu Lisu lazima yatakufikirisha na kukuumiza

    Tatizo jamaa hajakataa kwamba hakusema hayo maneno. Maneno kayatamka miezi sita kabla ya uchaguzi, tukamchukua tuka kaa nae mpaka leo, hata sisi tuli feli pakubwa kushindwa kuziba mianya ya machafuko, tuliamini kila kitu kiko sawa lkn ikawa ilivyokuwa, kwa tukubali kwamba, sisi tunaojinasibu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Makonda azikataa jezi mpya za Taifa Stars. Adai ziko chini ya kiwango na kung'aka "Tuheshimiane"

    Unavofurahi utafkiri hata kama ikiwa ivo kwamba watapata hasara. Mkizikataa hizo wenzenu wanatoa bajeti mpya na ww unaecheka ndo vile, kodi yako inafanya kazi mara mbili kwa kitu kile kile😀
  7. B

    JamiiForums Tanzania USHIRIKIANO BAINA YA TEC,WANAHARAKATI NA CHADEMA UNAZIDI KUBAINIKA BAADA YA WAO WENYEWE KUSHUTUMIANA

    Mkuu, nilitaka kujibu hoja yako ya awali, kwamba hilo kanisa halikufanya juhudi za kuepusha yaliyotokea October 29. Nilitarajia utaitafuta hiyo clip kwanza ujiridhishe then tuendelee na mjadala mpaka tutakapokubaliana kutokubaliana. Tusiruke ruke mada kwanza. Walisema/walishauri nini kabla ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania USHIRIKIANO BAINA YA TEC,WANAHARAKATI NA CHADEMA UNAZIDI KUBAINIKA BAADA YA WAO WENYEWE KUSHUTUMIANA

    Wanajamvi, huyu THE BIG SHOW muwekeeni hapa clip ya Dr. Kitima akitoa ufafanuzi wa mkutano wa TEC na Rais walipokaa Dodoma hivi karibuni labda ataelewa msimamo wao kabla ya October 29 na baada ya October 29. Yawezekana hicho kipande kilikupita au umejisahaulisha maksudi ili tuendee kupotosha...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Uwezo Mkubwa Wa Akili na Ujuvi Wa Sheria Aliouonyesha Wakili Katuga . Napendekeza Afikiriwe Kupandishwa Cheo Zaidi na Kuteuliwa Kuwa Jaji

    Nashkuru umenielewa. Lengo langu nilitakata ukumbuke kwamba kuna utofauti mkubwa kati ya Katuga na Heche, so hoja yako haina mashiko. Walau TL angekuwa ameleta mojawapo ya wanasheria nguli kama Mwambukusi na Katuga akaupiga mwingi then uzi wako ungekuwa na mashiko😀
  10. B

    JamiiForums Tanzania MADA: Uchambuzi: Sakata la Godbless Lema na Onyo kwa CHADEMA Kuhusu Mtego wa "Siasa za Kutenganishwa," Wanaharakati Mamluki, na Mateka wa Kifedha

    Mbona jambo hili lilikwisha? Naomba tuelewe uzi wa mleta mada, jamaa wanajaribu kila kitu mpaka watakapofanikiwa kuwagawa chadema ndio hutaskia chochote kuhusu viongozi wa chadema. Ishu ya hela kuliwa ilikuwa handled vizuri sana, sasa ivi jamaaa wanataka kujipenyeza kupitia kwa Lema.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Uwezo Mkubwa Wa Akili na Ujuvi Wa Sheria Aliouonyesha Wakili Katuga . Napendekeza Afikiriwe Kupandishwa Cheo Zaidi na Kuteuliwa Kuwa Jaji

    Nafkiri kitu cha kuelewa Mh. LUCAS, kama nakumbuka Heche na Mnyika waliulizwa kama wana ujuzi wa mambo ya sheria na wakasema hapana. Kumbuka wakili mkuu wa Serikali anapambana na mtu ambae hakusoma sheria😀... kwa hali hiyo kuna kitu unatarajia tofauti kutoka kwa HECHE? Game nzuri ingekuwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania MADA: Uchambuzi: Sakata la Godbless Lema na Onyo kwa CHADEMA Kuhusu Mtego wa "Siasa za Kutenganishwa," Wanaharakati Mamluki, na Mateka wa Kifedha

    Natamani sana vuongozi wetu wa Chadema wangeuona uzi huu. Point kubwa ni kulazimisha kwamba kuna vitu Lema anavifanya nje ya utaratibu. Salam alizitoa M/kiti na aliagiza zifike kwa wahusika, na ili kuonesha alimaanisha, siku zilizofuata aliuliza kama salam zake zilipelekwa. Nijuavyo mimi, hakuna...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    Hii ni nadharia inayolazimishwa na wengi lkn haiko hivyo. Hata ww mleta mada umejieleza ukionesha uko upinzani lkn sio kweli, bado wewe na wenzako mnaendelea kupandikiza hii chuki ya udini na ukanda ili kuendelea kuikandamiza Chadema na harakati zake. Hawa jamaa (Chadema) wameonesha ukomavu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Kigaila na Mwalimu ni Paka na Panya! Leo anamuita Mwalimu Samaki aliyeoza kwenye tenga

    Jambo lililokusudiwa lilishapita, kinachofanyika sasa ivi ni kutaka kutuaminisha kwamba hawa wenzetu ni wapinzani wa kweli. Mpango ulikuwa ni kuhalalisha uchaguzi na umefanikiwa. So, sio Salum wa Chauma mwenye cha kupoteza hapo. Tuliopoteza ni sisi.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    Jamaa usitulishe matango pori, wewe tunakujua ni mwenzetu wa okitoba tunatik. Hapa unataka kuyapakazia tu haya majamaa ya NrNe. Yanawezaje kuandika barua wakati yamefungiwa shughuli za kisiasa? Kiukweli chadema mnatuyumbisha vichwa, hatujielewi kabisa. Sijui tufanyeje mrudi ulingoni😅
Back
Top Bottom