Recent content by Bravo10

  1. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Je, maji ya baraka yanayotolewa kanisani huwekwa chumvi?

    Mkuu mbona povu sana, je! Unaweza kutuambia maji ya Baraka yameandikwa katika kitabu gani kwenye bibilia labda tuanzie hapo?
  2. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

    Mkuu, big up
  3. Bravo10

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA KUJITOLEA NAFASI YA CASHIER

    Hapana mkuu ni kwa sababu mbavu hazipumui
  4. Bravo10

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA KUJITOLEA NAFASI YA CASHIER

    Hapana Mkuu ni kitengo cha account.
  5. Bravo10

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA KUJITOLEA NAFASI YA CASHIER

    Habari za leo wakuu, natafuta sehemu ya kujitolea kazi ya Cashier. Nina Diploma ya Business Administration in Accounting na experience ya miezi sita. Natanguliza shukrani.
  6. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Ninauza sola, nipo Dar es Salaam

    Ngoja nikulambishe 260k mkuu
  7. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Natafuta Godoro ya Vitaform

    Habari wanajukua, natafuta godoro ya vitafoarm au spring mattress. Kama kuna mtu anajua haya magodoro yanauzwa wapi kwa bei nafuu anisaidie. Nipo dar. Natanguliza shukrani
  8. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu miguu 40*20 kwa 5ml kipo chanika- zingiziwa

    Bei haipungui mkuu
  9. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Plot, ekari 7, yenye hati inauzwa Kibamba CCM-Dar

    Kwa hiyo mtu akihitaji eka 3 hawezi kupata
  10. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbezi juu sqm 4530

    Kuna 1M cash mkuu unasemaje
  11. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria ameachana na mumewe?

    Mwanamke anatakiwa awe mshamba kidogo ukimwambia mama naenda mpira leo arsenal na Chelsea wanacheza, ankuuliza ooh kumbe kombe la dunia limeanza? Sio kama Joyce kila kitu yeye hadi movie ya vampire huwezi kumdanganya kitu tena anakuambia bora life tu linaniudhi nakiherehere chake.
  12. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo Kibaha

    Yaani binadamu, wewe mwenzio anakuambia anatafuta eneo, badala ya kuweka offer yako hadharani unamwambia aku pm ndo nini sasa
  13. Bravo10

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa watoa huduma ya chakula

    Subiri tukavamie hapo mkuu. Ubarikiwe
Back
Top Bottom