Recent content by bravegirl

  1. bravegirl

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wazo hili

    Habari wapendwa naomba kujuzwa nina kaeneo kadogo Singida kadogo tu robo heka nahitaj kukapanda miti ya mbao kea sababu sijengi hvi karibuni naomba msaada ni miti gan inastawi vizur hapo Singida mjini na kwa muda mfup asanteni
  2. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ulipata? nipo tayar
  3. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ulipata? Nipo tayari
  4. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wakuja kigoma dc nije Singida msingi
  5. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mm nahtaji mwl wa kuja kigoma dc nije Singida msingi
  6. bravegirl

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Nataka kuanza biashara ya handbag au viatu toka China/Uturuki

    Toa link ya grup lako niingie
  7. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mbna umeguna?
  8. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hamna wa kigoma huko uniunganishe nae
  9. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kigoma dc nije kahama, shinyanga manispaa
  10. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari wapendwa mwalimu aliepo moro,pwani,arusha, Kilimanjaro tubadilishane aje kigoma dc, idara msingi
  11. bravegirl

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana maziwa madogo madogo

    Akizaa yatakua
  12. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu yangu vip ulipata hyo link unisaidie nahitaji pia
  13. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwenye link ya telegram grup la walimu kubadilishana vituo naomba
  14. bravegirl

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kigoma nije pwani
  15. bravegirl

    JamiiForums Tanzania Nyimbo kali za kuingilia ukumbuni kwa maharusi

    Umenifanya ning'are by Christina shusho
Back
Top Bottom