Mkude yupo Avic Town mzeee..
Eneo la kati kati bado kwa Yanga lina watu...
Azizi andabwile
Aucho
Muda
Abuya (anaweza kucheza hiyo namba)
Mkude
Na Gamondi anaweza akafanya jeuri aka muanzisha Babu kaju eneo hilo😁
Niongezee hapa kidogo
Nab sahizi anaumiza kichwa sana sema tu sahizi lengo la kwanza ni kufunga la pili wasi ruhusu goli
Kwa nini?
Yanga wameondoa magoli,kivipi?
Msimu ulio pita Yanga walikuwa na Saidoo akicheza kama namba 11 alikuwa anatoa assists,kutengeneza nafasi na kufunga vile vile...
Kama mwanadamu aibu nilazima iwepo na pia ukitama ile video ya mashabiki wa Yanga baada ya Mechi ya Azam waki imba kama hamtaki fei...
Huja kaa sawa una sikia kauli kutoka kwa mashabiki zikisema Fei ana ihujumu timu..
Unarudi unaona kwenye timu wachezaji wenzio walivyo lichukulia swala lako...
Morocco anaweza akamtoa ureno anaweza aka washangaza wengi...Morocco wana quality na nidhamu ya hali ya juu..
Sio jambo dogo kuzi piga timu kubwa duniani na huku akiwa ameruhusu goli 1 tu
Shida sio kujua mpira ila tatizo ni linakuja timu za Afrika huwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya WC ndiyo mana tuna nafasi hizo na ndiyo mana Ulaya wana timu nyingi kuliko bara lolote...
Ikatokea mara 2 au tatu timu mbili za Afrika zika fika hatua za juu zaidi tuta ongezewa timu...
Kwenye Timu yoyote na Kocha Yoyote ukiwa na Chama kwenye kikosi chake Hawezi kumweka Nje..
Na kwa kocha yoyote na timu yoyote ikiwa na FEI hawezi kumweka nje...
CHAMA ndiye KIUNGO BORA kabisa kwa sasa kwa International Playo. Na
FEI TOTO ndiye kiungo bora zaidi Kwa Tanzania kwa sasa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.