Mimi sijaelewa....Hiki kipande cha SGR Moro - Makutupora (Dodoma) kilishawekewa jiwe la msingi la kujenga mapema na Rais... sasa ina maana jiwe la msingi liliwekwa kabla ya kupata mkopo au hii ni kwa ajili ya kipande cha kutoka Dodoma - Tabora?
Yaani anatoa maelekezo kwa watendaje wa sekta ya ujenzi na ardhi wenye vyeti vya taaruma wakati yeye hana cheti ... Kaka weka vyeti kwanza mezani hayo mengine baadaye... Hivi unajisikiaje unaposikia watumishi 9+ wamefukuzwa kazi kwa kugushi vyeti wakati wewe pia umegushi na unaendelea kutoa...
Hii inaonesha wewe kumbe hua unaangalia bongo movies... mimi sina muda wa kuangalia hizi movies.. hazina mvuto kabisaaa watu wanauza sura tuu....fake kabisaaaaaa
FRIDAY, MARCH 31, 2017
Muuguzi ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwa kughushi cheti
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara, imemhukumu muuguzi Irene Machagge kifungo cha miaka 3 jela au kulipa faini ya sh 600,000 baada ya kumtia hatiani kwa kughushi cheti cha elimu ya sekondari na kukitumia...
Kipindi hiki Tabata Aroma Dar Es Salaam mtandao wa vodacom kenge sana... sometimes unaambiwa no network kabisa....internet ni kenge kabisa... zamani hata mechi nilikuwa naweza kustream lakini zaizi ni balaa.. sijui ni kwani nini? ukitumia line ya halotel unapata internet vizuri tuu lakini hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.