Jenga kiulaiini kabisa

cccltd

Member
Feb 18, 2017
64
18
Katika kuendelea kuwawezesha Watanzania kupata Makazi kwa njia nafuu kampuni yetu ya cccltd inatangaza ofa kwa makundi mbalimbali kama saccoss ,vyama vya wafanyakazi , waumini wa madhehebu nk , kwamba tunatoa MIKOPO ya Viwanja na (vifaa vya ujenzi) kwa Wateja wa Viwanja vyetu tu. TUNAHAMASISHA Jumuiya mbalimbali kwani tumewapa kipao mbele,
**** Mikopo ya Viwanja: malipo ya awali ni makubaliano kati yetu
**** ukimaliza utapewa hati
****ukilipa utapewa Mkopo wa vifaa vya ujenzi kwa awamu.
****bei zinaanzia mil 4.8
**** ukubwa kuanzia mita 20*20

*†***MAENEO YA Viwanja:kigamboni ( maeneo tofauti 5) utachagua

Mvuti, mbande,Mkuranga,

Karibuni viongozi wa vikundi tutawawezesha kulingana na bajeti zenu : 0762781778/0762576878/0674880470
Usisite wasiliana nasi tutakuwezesha
 
Vya kigamboni vipo sehemu gani? Na je kampuni yenu imesajiliwa? Je hati mnatoa ya serikali za mtaa au ya wizarani?
 
Tuna Viwanja mwembe mdogo,amani gonvu, mwasonga ( Kata ya somangira tuna Viwanja sehemu tofauti) Viwanja hivi vimepimwa yaani ktk city plan hivyo ukununua tuna process hati toka wizara ya ardhi , mwisho kampuni ni registered toka 2010, shughuli zote zipo kisheria
 
Katika kuendelea kuwawezesha Watanzania kupata Makazi kwa njia nafuu kampuni yetu ya cccltd inatangaza ofa kwa makundi mbalimbali kama saccoss ,vyama vya wafanyakazi , waumini wa madhehebu nk , kwamba tunatoa MIKOPO ya Viwanja na (vifaa vya ujenzi) kwa Wateja wa Viwanja vyetu tu. TUNAHAMASISHA Jumuiya mbalimbali kwani tumewapa kipao mbele,
**** Mikopo ya Viwanja: malipo ya awali ni makubaliano kati yetu
**** ukimaliza utapewa hati
****ukilipa utapewa Mkopo wa vifaa vya ujenzi kwa awamu.
****bei zinaanzia mil 4.8
**** ukubwa kuanzia mita 20*20

*†***MAENEO YA Viwanja:kigamboni ( maeneo tofauti 5) utachagua

Mvuti, mbande,Mkuranga,

Karibuni viongozi wa vikundi tutawawezesha kulingana na bajeti zenu : 0762781778/0762576878/0674880470
Usisite wasiliana nasi tutakuwezesha
Acheni utan weka na riba no non profit business je mko na ofisi dsm
 
Riba ,ipo MIKOPO yetu kwa Viwanja kwasasa tunatoa wenyewe lakini tuko katika hatua za mwisho kushirikiana na moja ya benki, hapa mjini .Tupo Dar city business complex - MAARUFU kama Machinga Complex Ghorofa ya 4,
 
Je kwa mtu binafsi ambaye ni mfanyakazi mnatoa huo mkopo wa kiwanja na Vifaa vya ujenzi?
Tunatoa kwa wafanyakazi wakiungana na ofisi ikiwadhamini , ila wasiliana nasi kwa what's up 0762781778 tuone mahitaji yako na jinsi ya kukusaidia
 
Katika kuendelea kuwawezesha Watanzania kupata Makazi kwa njia nafuu kampuni yetu ya cccltd inatangaza ofa kwa makundi mbalimbali kama saccoss ,vyama vya wafanyakazi , waumini wa madhehebu nk , kwamba tunatoa MIKOPO ya Viwanja na (vifaa vya ujenzi) kwa Wateja wa Viwanja vyetu tu. TUNAHAMASISHA Jumuiya mbalimbali kwani tumewapa kipao mbele,
**** Mikopo ya Viwanja: malipo ya awali ni makubaliano kati yetu
**** ukimaliza utapewa hati
****ukilipa utapewa Mkopo wa vifaa vya ujenzi kwa awamu.
****bei zinaanzia mil 4.8
**** ukubwa kuanzia mita 20*20

*†***MAENEO YA Viwanja:kigamboni ( maeneo tofauti 5) utachagua

Mvuti, mbande,Mkuranga,

Karibuni viongozi wa vikundi tutawawezesha kulingana na bajeti zenu : 0762781778/0762576878/0674880470
Usisite wasiliana nasi tutakuwezesha
CHADEMA CUF na NCCR changamkieni fursa hiyo Ofisi zijengwe
 
Back
Top Bottom