Recent content by braightonb

  1. braightonb

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Samahani, naomba msaada na toa vip pesa kwenye 1×bet mi mgeni sijawahi tumia hii kampuni kubet na sijaona sehemu ya withdraw
  2. braightonb

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali itaajiri walimu 4,000 wa Sayansi na Hisabati hivi karibuni

    Mi hata siwazii hizo sarakasi zao,watoe wasitoe naamini kila kitu kinamwisho wake,hongera yao kwa kutupotezea mda wetu
  3. braightonb

    JamiiForums Tanzania Tamko la walimu wa sanaa waliokua wanaosubiri ajira mpya.

    Nakumbuka nikiwa kidato cha pili wakinamama wananiuliza unasoma ili uwe nani hivi ulishawahi kumwona au kusikia nani hapa kijijini aliwahi kusoma na baadaye kuja kuajiriwa jibu sikuwa nalo ila niliwajibu mtaanzia kwangu kuona,lakini nimemaliza chuo nasubiri ajira mara ajira zimesitishwa,du!sijui...
  4. braightonb

    JamiiForums Tanzania Ndalichako: Walimu wa sanaa wanatosha. Serikali haiwezi kuajiri walimu wa masomo hayo kwa sasa

    Inawezekana aliyekuwa kapanga yote hayo kashaondoka,huyu ni mwingine anampango wa kuzalisha mainjinia na kada nyingine,kwa hiyo tuumieni taratibu wakati huo akili zetu tukizifungua 2020 tujue nn cha kufanya awamu ijayo ili tuwasaidie wadogo zetu
  5. braightonb

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu 35,000 mwaka wa fedha 2016/2017

    Hizo mbwembwe tu,ningemwamin kidogo kama angekuja na tamko la kwamba ajira zimetoka na kila anayehusika ajiandae january kuripot kituo husika alichopangiwa,sio kuja na mambo ya bajeti ya 2017/018 hapo mi naamin kwa mwaka wangu tuliomaliza 2015 chuo tumetupwa labda wajipe matumain waliomaliza...
  6. braightonb

    JamiiForums Tanzania Ajira kutolewa mwakani

    Mi siwezi kushangaa hata wakitoa tamko kwamba hawatoa kabisa hizo ajira japo nami ni mhanga wa hilo lakini dalili zimeshaonekana kabisa hakuna ajira lakini zitakuwepo kwa baadaye za mafungu mafungu ili kuonesha kwamba wametoa
  7. braightonb

    JamiiForums Tanzania Tumaini jipya kuhusu ajira kwa walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Walimu wa sayansi za kwenu lini wanatoa maana naona walimu wa art wanaojadiliwa,hamjui kama hawa watu wanawaptezea mda wa kuwapa matumaini hata yasiyokuwepo cha msingi subirn hadi mwakani kama mmesubiri post
Back
Top Bottom