Habarini za wakati huu wana jukwaa, leo asubuhi nmetumiwa email na hawa Hunger Aid in Africa lakin wameniagiza nitafute PAR certification , Nmejaribu kufuatilia nmeona ni email ileile ambayo imekuw ikitumwa kwa watu tofaut tofaut kwa muda mref sasa, je kuna mtu ana taarifa juu ya hawa watu au ni...