Recent content by braaak

  1. B

    Mwanangu jifunze haya kuhusu mwanamke

    nimejifunz jambo la muhim asubuh ya leo"usiingiz yaliyo pita ktk ndoa",kusali na familia"shukrani mkuu
  2. B

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    naomba kufaham kama Tanga itafaa kwa kilimo hiki maeneo yapi
  3. B

    CRDB bank acheni ubabaishaji mnatutesa

    CRDB wezi sana niliangalia salio tuu mwa siku mbili walinikata tsh.50000 sina ham nao hata punje
  4. B

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Ikulu hakubebwi vyuma mkuu ni suala la akili,busara na maamuzi
  5. B

    Smartphone inahitajika

    Tecno M3 bei maelewano ipo ktk hali nzuri
  6. B

    Rais UDOM (CoEd) apinduliwa

    FFU wafuate nin?labda kuja tuu kutalii UDOM mkuu ila ilikuw ni amani bila fujo
  7. B

    Rais UDOM (CoEd) apinduliwa

    anajidai haelew huyooo muache tuu kwani yey hajawah kukosea ku type
  8. B

    Rais UDOM (CoEd) apinduliwa

    aondoke tuu maana hakuna namna rais wetu ni MPANDALUME tuuuuu
  9. B

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    mwenye taji jeupe kichwani ndio rais ajae wa taifa hili ninani?
Back
Top Bottom