Rais UDOM (CoEd) apinduliwa

Rais UDOM (CoEd) apinduliwa

leo hamjaenda arusha nyie wasomi?ambao juzi mlikuwa mnalilia kuhusu mikopo leo mmejisafirisha mpaka arusha ati nasikia
 
Mkuu najua tu atarudi kwa kujifichaficha na wote mlioshiriki mapinduzi mtakamatwa! Nimekosa matumaini na mapinduzi kabisa!!
 
leo hamjaenda arusha nyie wasomi?ambao juzi mlikuwa mnalilia kuhusu mikopo leo mmejisafirisha mpaka arusha ati nasikia

waliomfuata mvi kilikuwa ni kikundi cha wahuni wachache wa UDOM wakiongozwa na mhuni mkuu luterano
 
hoja ipi ya kipuuzi we dada au jamaa ako hakufikishi mshindo eeenh

na wewe unajiita msomi,kweli kama unasoma udsm ww umechomekwa na ndugu yako wa TCU ila udsm hakuna watu wenye akili kama zako,msomi mzima utaandikaje utumbo huu,mungu akusamehe tu maana sisi tumeshakusamehe
 
Raisi wa serikalya wanafunzi UDOM amepinduliwa kutokana na ufisadi na kushindwa kututetea sisi wanafunzi atika mambo yetu ya msingi, alishindwa kusimama kama mwanafunzi na akaona dearn of students ndiye aliemchagua maana alieshirikiana naye na kuwajibika kwake;
Kwa kweli kama kijana wa chuo kikuu anakua fisadi akiwa mwanachuo sijui kama atafaa kuihudumia jamii baada ya shule, tunatakiwa kubadilika na kuiga mifano ya wachache ambao ni waadilifu katika taifa
 

Attachments

  • udom 2.PNG
    udom 2.PNG
    218.8 KB · Views: 217
  • udom 3.jpg
    udom 3.jpg
    122.1 KB · Views: 201
  • udom 4.jpg
    udom 4.jpg
    111.9 KB · Views: 190
Juma Mkamia naye si mwanafunzi pale...sijui anachukua diploma ya nini vile, Anaweza kuzuia kama ufahamu wake umesharudi
 
Back
Top Bottom