Recent content by br jf

  1. B

    Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    Mimi nalima kama mboga za nyumbani,inanaisaidia kweli najipanga kulima kama zao la biashara
  2. B

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    jamani naomba msaada papai linachukua muda gani kupanda hadi kuvuna hasa kwa mbegu zilizozalishwa maabara (hybrid)
  3. B

    Natafuta soko la asali ya nyuki wakubwa

    ndiyo nauza hata reja reja pia
  4. B

    NATAFUTA SOKO LA ASALI

    dumu la lita 20 nauza kwa Tsh 170,000
  5. B

    Natafuta soko la asali ya nyuki wakubwa

    Mimi ni mjasiriamali wa asali halisi.Ninatafuta soko la asali.Kwa yeyote anayehitaji asali naomba tuwasiliane ili upate asali halisi.
  6. B

    NATAFUTA SOKO LA ASALI

    Mimi ni mjasiriamali ambaye nataka kuanza kuuza asali ndani na nje ya nchi,nimefatilia na kupata wakulima wa asali na sasa natafuta soko la asali.Naomba kwa yeyote anayefahamu anijulishe.
  7. B

    Project funding sources

    nimependa sana project yako mkuu Mzuzu.naomba unitumie bussiness plan yako tushirikiane kurun hiyo project ninamfahamu jamaa mmoja anaweza kutusaidia kwa kupata mahitaji ya plant nzima. nitumie hiyo kwa brjf_badilika@yahoo.com.
  8. B

    Graduate QS wanahitajika

    wizi mtupu
  9. B

    Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

    Kama unatafuta ajira zipo hapa duniani,ahera hakuna ajira yoyote.Umewaza ujinga kama watu wapumbavu.Ushauri wangu ni kwako ni kwamba mrejee muumba wako maana yeye ndiye akupae nguvu za kupata utajiri.
  10. B

    Biashara ya Hostel: Mbinu, Faida na changamoto zake

    eneo lipo jirani na chuo cha utumishi wa uma-kange Tanga,kwa sasa eneo lina offer ya kijiji nashughulikia offer kubwa
  11. B

    Biashara ya Hostel: Mbinu, Faida na changamoto zake

    Habari zenu wana JF. Nina eneo jirani kabisa na vyuo na hapo kunahuhitaji mkubwa wa vyumba vya kulala. Nina ndoto za kujenga hostel yenye uwezo wa kurudisha pesa haraka lakini changamoto niliyonayo ni ukosefu wa pesa za kutosha. Tafadhali naomba ushauri kwa ili kwani ninashindwa nianzie wapi...
  12. B

    Simu aina ya bird e700 ni nzuri kwa matumizi ?

    Natafuta simu aina ya bird E700 ,naomba ushauri kama ni nzuri kwa anayefahamu.
  13. B

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mshiri wewe mbona haujamsaidia mawazo yako? usikae kulaumu tu.
  14. B

    Nina kiwanja Nataka kujenga Nyumba

    Nami nimetiwa moyo kwa darasa hili,nitaanza polepole mwezi july
  15. B

    Kuitwa Kazini TPDC

    Ninasubiri kwa hamu sana kuitwa kazini
Back
Top Bottom