Recent content by bozoen

  1. bozoen

    JamiiForums Tanzania Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

    Uenda alikudanganya mbona wenye mafanikio makubwa wanaamasisha kaz kwa bidii
  2. bozoen

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    03:14
  3. bozoen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    Nisamehe Sana me mwenye sio Tabia yangu ya kuwajibu wajinga wajinga kama we imekuwa mara ya kwanza na imekuwa bahati kwako uwenda ikakusaidia kubadilisha mtazamo wa akili yako mbovu
  4. bozoen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    Una heshima yeyote mwenye heshima awezi chukulia kawahida chanzo cha heshima wew mkubwa hovyo
  5. bozoen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    We kijana unaumri wa miaka mingap Kwanza maana ushauri unaendana na umri
  6. bozoen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    Sio sawa Ila icho sio kipimo Cha kuchukulia mama kawahida at sekund je angeamua we usizaliwe kabsa leo ungesema ushuzi hap
  7. bozoen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    Huru gan wa fikra wenye kuchukulia poa miujiza ya mama kwa kwanae kumweka miez tisa tumboni kumnyonyo mawiza miaka miwili na zaid Tena mfululizo sio dakk masaa sik mpaka mwenz wewe unaongelea fikra gan
  8. bozoen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    Una uzoefu na iyo hali anayo pitia au niubutu wa akili yako kumshauri mambo usiyo weza au kuyapitia
  9. bozoen

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi wala Kaizer Chiefs hawawezi kumchukua wala kumtaka Fiston Mayele

    Ulicho sema
  10. bozoen

    JamiiForums Tanzania Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

    Wasomi wote tanzania ni vilaza wengine tu hawa wasome sindio wanakimbizana na rushwa za wamachinga na tozo ya machinga kariako uwo ndio usomi walio nao
  11. bozoen

    JamiiForums Tanzania Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

    Nakuungaa mkono
  12. bozoen

    JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa hela feki nyingi mtaani

    Jana dogo wangu dukan kapewa ten kizembe sana
  13. bozoen

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Mtoto wa pwan m'bebeshe kapu gunia unataka kuuwa
  14. bozoen

    JamiiForums Tanzania Mnalikumbuka jiko la stove?

    Unabei gani nikuletee
Back
Top Bottom