Kuwepo kwa hela feki nyingi mtaani

Kuwepo kwa hela feki nyingi mtaani

Misss Chuga

Senior Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
181
Reaction score
331
Moja kwa moja kwenye mada.

Mtaani kuna hela feki nyingi sana noti ya elfu 10, 5 na elfu 2. Nakuandikia tu uwe makini sana.Kama unatoa kiasi kikubwa cha hela hakikisha unatoa hela mahali salama namaanisha benki au kwa wakala unayemjua.

Serikali saidieni kutoa hizi hela mtaani. Nb kwa wale wenye elimu kuhusu hizi hela unaweza wasaidia watanzania wengine.Karibu.
 
Screenshot_20230526_100601.jpg
 
Khaaaa🥱
1685084863226.png
 
Matatizo ya kuweka mifumo ya hovyo ambayo inabana maisha wa watu wa kipato cha kati hadi chini. Watu wameamua kuuharibu mzunguko wa fedha kinamna hiyo, waendeshe maisha yao
Kabisa serikali imekaa kimya kama hamna kinachoendelea.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Mtaani kuna hela feki nyingi sana noti ya elfu 10, 5 na elfu 2. Nakuandikia tu uwe makini sana.Kama unatoa kiasi kikubwa cha hela hakikisha unatoa hela mahali salama namaanisha benki au kwa wakala unayemjua.

Serikali saidieni kutoa hizi hela mtaani. Nb kwa wale wenye elimu kuhusu hizi hela unaweza wasaidia watanzania wengine.Karibu.
Chai
 
Haya yoye huja kwakua hakuna ajira, fursa zqkuingiza kipato kikubwa , utaskia vulilia ti utatoboa . Ndo wahuni wanaamua kujihami na kibumba hela zao Ili kusuvive.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Mtaani kuna hela feki nyingi sana noti ya elfu 10, 5 na elfu 2. Nakuandikia tu uwe makini sana.Kama unatoa kiasi kikubwa cha hela hakikisha unatoa hela mahali salama namaanisha benki au kwa wakala unayemjua.

Serikali saidieni kutoa hizi hela mtaani. Nb kwa wale wenye elimu kuhusu hizi hela unaweza wasaidia watanzania wengine.Karibu.
yaani hizo noti feki umeziona wewe tu kati ya watz karibu milioni 60?
 
Back
Top Bottom