Recent content by Bozi11

  1. B

    JamiiForums Tanzania Key Quote of year 2017

    Ipo kazi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Key Quote of year 2017

    Key Quote: Maskini ambao ni mfano wa Mungu uwapandishie bei sababu ya Cheo chako
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kukosa Tuzo MTV: Wasanii wa Tanzania wapunguze kujiamini, wajirekebishe

    Ni aibu sana wasanii wa 5 toka Nchi kubwa. Yenye Rais anayependwa Africa. Madini mbali mbali na vingenevyo. Kwenda katika Mashiriki ya MTVMAMA's na kutokuumbulia kitu. Ni Aibu, tujifunza; 1. Hatukubaliki kama tunavyojikubali (hii ni Overconfidence). Tunashindwa ambiana tuki bugy. Wasanii wetu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo 'dongo' kutoka kwa Zitto Kabwe kwenda kwa Makonda

    Na wasii waTanzania Tuache UTAHIRA wa namna hii hatutafika. Ata wewe unayo comment. Comment kwenye Jimbo lako! Upumbafu wa namna hii tuache! Tukosoane kwa Mema. Zitto yupo sawa kusema, ACHENI UTAHIRA
  5. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

    Aliyejiuzulu Pro-pesa LiPUMBA. kaenda stage nyingine ya UJINGA. Huu tunauita UJINGA UPOTEVU. Njemba haina Mshipa wa Aibu, leo nmemu add kwa Type za PhD Holders Type KUTOKUJIELEWA. Ikiongozwa na Pro-mboga TIBAIJUKA, Dr-kutubu RUTENGWA. Ngoja ninunue Bisi Series imefika Patamu. #ChekaKwaDharau
  6. B

    JamiiForums Tanzania Halotel, Voda, Airtel, Zantel zapasua mawingu Tigo ovyoo!

    Nshatumia Tigo. Airtel. Vodacom. Halotel Tigo: Mtandao Mbovu always. haishi siku wamekutumia SMS Airtel: Haileweki, Mara Nzuri, Mara Mbovu Vodacom: Bei gharama lakini huduma nzuri Halotel: Kwa mikoani (Dodoma ndo mji mkuu, namaanisha mikoa mengine #ChekaKwaDharau) ndo inafaa, lakini all in all...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Halotel, Voda, Airtel, Zantel zapasua mawingu Tigo ovyoo!

    Haha. Kweli zimeshazoea shida!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vibaka wamezidi Kinondoni

    Kusema kweli vibaka wamezidi na wamezidi kweli kweli, matukio yamezidi ya kupigwa mapanga. Kuporwa simu nguo kufanyiwa vurugu. Kuna sehemu ambazo ikishafika Mida ya Saa 1 Jioni huwezi pita kama Mkwajuni Bondeni. Wahuni wamezidi, Serikali na Polisi wamelifungia macho hili hujui jambazi huanzia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

    Tu Define nini kuvutia? Vigezo gani vya mtu kuvutia? Then tujue
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

    Kweli kabisa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    Mi namuelewa sana JPM. Hamna haja ya kwenda UN kudiscuss. Wakimbizi. Wakati tunamatatizo yetu hapa. Na hao UN wamesaidia kukatisha zile pesa za MCC. Basically hyo meeting ni yakinafiki. Tuna marafiki wa Ukweli. China. Japan. Kenya. Rwanda. Bora uwe na cycle ndogo yakuamini. Kuliko Darasa zima la...
  12. B

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kusoma Engineering Tanzania ni kujipunguzia siku za kuishi

    Ama kweli. Kusoma Engineering cyo tatizo. Tatizo ni mind set yako baada ya kumaliza. Kama unataka ukae kwa wahindi. Wachina. Watakupa Laki 4. Lakini life is very better kwa Engineering kuliko izo field nyingine. Ma Engineer wangapi wametoka tunawaona. Usikariri
Back
Top Bottom