Kusema kweli vibaka wamezidi na wamezidi kweli kweli, matukio yamezidi ya kupigwa mapanga. Kuporwa simu nguo kufanyiwa vurugu. Kuna sehemu ambazo ikishafika Mida ya Saa 1 Jioni huwezi pita kama Mkwajuni Bondeni.
Wahuni wamezidi, Serikali na Polisi wamelifungia macho hili hujui jambazi huanzia chini. Fyeka mizizi ya mti na mti hauto ota kuliko kwenda kujibishana na majambazi kwa bunduki kali kali waanze na hawa wa mtaani.
POLISI WAPO. Peaceful country mtu huwezi tembea saa 1 jioni