𝐌𝐜𝐡𝐞𝐳𝐨 𝐰𝐚 𝐒𝐚𝐫𝐚𝐟𝐮 𝐒𝐨𝐤𝐨𝐧𝐢.
Kila siku Nasoro alikuwa akienda kuomba msaada sokoni, na watu walikuwa wakimdhihaki kwa kumfanyia mchezo mmoja.
Walikuwa wakimuonyesha sarafu mbili, moja ikiwa na thamani ya mara kumi zaidi ya nyingine yaani shilingi 50 kwa shilingi 500, na Nasoro siku zote uchagua...