Sasa hivi hakuna biashara ya watumwa,kinachoendelea duniani ni utumwa wa kiuchumi,tunawatumikia mabwanyenye kupitia fedha,ukitaka fedha yao moja uwe na za kwetu gunia moja,hawakubali hata kidogo wakiona nchi flani fedha yake ikaikaribia thamani ya dola,endapo nchi hiyo inataka kuikaribia fedha...