Mazingira ni viwandani na petrol stations tu?

Mazingira ni viwandani na petrol stations tu?

boyayoparuparu

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
343
Reaction score
82
Tumeshudia wahusika wa mzingira wakiwawajibisha hao niliowataja, lakini kuna maeneo mengi mengine yameachwa.

Kwa mfano, wilaya ya Mkuranga, Mwanambaya kijiji cha Kolangwa kilivamiwa na wafanyabiashara ya kuchimba na kuuza mchanga, kijiji baada ya muda kitageuka kuwa mahandaki, na inaaminika jamaa hawa wanawanunua viongozi ili wafumbe macho.

Jambo hili mwanzo sikuliamini ila sasa nakaribia kuamini, haiwezekani uharibifu ule mkubwa wa mazingira uachwe uendelee huku wahusika wamekaa kimya.
 
Sasa hapo ni wahusika kuongeza umakini. Washirikiane na halmashauri zote na kuhakikisha kuwa mambo yanatendeka kwa usawa na wanaotakiwa kuwajibishwa wanawajibishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom