boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 82
Endapo Mtumbua majibu ataweza kuwadhibiti wanachama wa ccm waliojiunga huko ili kulinda mali walizozipata kwa njia haramu na wale waliojiunga huko kwa lengo la kupata fulsa za kujilimbikizia mali za wizi,hapo atafanikiwa vinginevyo atashindwa vibaya,tukumbuke kuwa chama cha mapinduzi asili yake ni cha wakulima na wafanya kazi,sasa sivyo tena wafanya biashara wengi wanaokwepa kodi na watu wanajitafutia pesa zisizo halali wamejaa humo na ndio wanaokishinda nguvu chama,mwaka 2007,nilimwandikia mh,kikwete kumueleza kuwa bila kuidhibiti hali hiyo na kukirudisha chama kwa wakulima na wafanyakazi ategemee anguko kubwa sana.tumbua jipu,chama kirudi kwenye alama zilizo kwenye bendera ya chama ccm,jembe na nyundo