Recent content by boy_sunday

  1. B

    USHAURI: Napata hasara kila siku

    Sio mkaa pekee hata ndula ndula na mfupa wa ngurume fanya hivo utakuja nishukuru
  2. B

    Nauza bata wa kienyeji kwa bei nafuu

    Rejea mada hapo juu, Nina bata wa kienyeji kwa ajili ya mboga na kufuga kama unaitaji nidm bei ya kitanzania kabisa Dume Uzito kg 4 - 5 Ana mwaka mmoja na miezi 6 Bei 30,000 Majike Wanaotaga wako 2 Bei 15,000@1 Mwenye watoto yuko 1 Bei 20,000 Pia kuna makinda wako 5 Bei 10,000@1 Pia kama...
  3. B

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Mrejesho, hali ni ile ile labda j3 nijaribu kuwapigia pia sio me peke angu kuna wengine hata ile za adem tutor assistant hr inagoma ani iliokubali ni mdas & ngos
  4. B

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Mkuu unaweza kuwa nayo na ikagoma kama kuna aliejaribu wa human resource aje atupe mrejesho!
  5. B

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Sio we peke ako me nmejaribu tuma nmesoma human resource imegoma hadi nmejichokea asa sielew wanataka kozi zipi?
  6. B

    Nafasi za Ajira 207 TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

    Hamna labda bado bado mchakato
  7. B

    Nafasi za Ajira 207 TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

    Hivi zile zingine nafasi 38 tuliofanya usaili wiki tatu zilizopita wameita kweli? Mana hata kweny website yao hawajatoa taarifa na si kawaida yao? Kama kuna eliejulishwa kupata ile ajira me nlikuwa siku ya kwanza upande wa walinzi!
  8. B

    Unazungumziaje ngoma mpya ya simba

    Sio anataget watoto wanaochipukia?
  9. B

    Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

    Hebu fanya wasiliana na huyu natumai kiu yako itaisha.
  10. B

    kwa vyuo visivyotoa 2nd selection

    kuna chuo cha cha mipango irdp hadi leo bado hawajatoa 2nd selection kwa degree
  11. B

    kwa vyuo visivyotoa 2nd selection

    natumaini wazima wa afya poleni kwa majukumu.kuna baathi ya vyuo hadi leo bado hawajaachia 2nd selection je kama wewe umeapply hicho chuo unawaambiaje wahusika!!povu ruksa
Back
Top Bottom