Recent content by boy lanugo

  1. boy lanugo

    Utaratibu wa kuwahamisha watumishi wa umma idara ya afya halmashauri ya mji Masasi mtwara kuwapeleka Sekta Binafsi uangaliwe upyaa

    Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi? Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi? Unamtoa Mfamasia...
  2. boy lanugo

    RHMT Member Wanachaguliwa na RMO?

    Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT . Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na wengineo anaamua tu kumuondoa kwa kigezo kwamba haendani na kasi yangu 😂, mara kibao tunaona baadhi ya...
  3. boy lanugo

    Simulizi ya Kijasusi: Giza la Wasaliti

    Mkuu ulikuwa unakimbizwaa 😂
  4. boy lanugo

    Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Una la Unalaptop, smartphone na bundle la uhakika? Na pesa japo ya kianzio? Kule mjini twitter kuna vijana @meltchleord, @gabyconsius, psite shayo, AMOSI nyanda, Tot tech na wengine wengiwa cheki wakukochi au pitia post zao mmoja mmoja atakayekufaa mfate inbox muombe akufunze skills moja wapo.
  5. boy lanugo

    Tamthilia ya huba mmepoteza mwelekeo na mvuto

    Kwa wanaume kama unaangalia hizo tamthilia za dstv basi nikupe pole tu
  6. boy lanugo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngoja leo mnitoe ushamba wakamalia…. Betpawa nashindwa kuedit kabisa nikichukua code humu,,, naomba melekezo
  7. boy lanugo

    Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

    Ujue nilijua hili tatizo labda la kutokuelewana na mzee ni la kwangu pekee yangu.. form four nzima nimetumia uniform za washikaji,,, namaliza shule ,, matokeo hayakuwa poa sana mzazi anakwambia toka nyumbani kwangu kwani wewe sio mwanangu nenda kamuulize mama yako baba yako ni nani…..
  8. boy lanugo

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kuna nyuzi wadau walikuwa wanatupia vitabu soft copy siionj kabisa kwangu au imefutwa nn? Naomba link yake wakuu
  9. boy lanugo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sidhani kwa sababu unatafuta hizo odds 1.5au mbili lakin kwa timu moja Au mbili lakini bado zinachana mkuu 😂😂😂😂
  10. boy lanugo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimejaribu karibia mara tatu kama sio mara nne aisee.. siku nyingi sana nikizofanikiwa ni 3 tu😂😂😂😂 baada ya hapo sasa ni siri yangu
  11. boy lanugo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aisee siku yangu leo munara ameitendea haki
Back
Top Bottom