Recent content by BOSTO KEYS

  1. B

    Nahitaji kusaidiwa jina la biashara

    Mkuu moja ya njia za kupata jina la kampuni ni kupata recommendation/suggestion names kutoka kwa watu mbalimbali, halafu unachagua, simple tu ili usile sana units :D
  2. B

    Nahitaji kusaidiwa jina la biashara

    Tafadhali ainisha huduma zitakazokuwa zinatolewa na kampuni hii.
  3. B

    Ushauri kati ya paving blocks au kokoto

    Bora paving blocks kwa sababu ya faida zake kuliko kokoto. Zitadumu zaidi kuliko kokoto (durability), kokoto zitasogezwa huku na huku kadiri wateja wanavyoingia na kutoka Wateja wanapenda kutembea juu ya paving blocks zaidi kuliko juu ya kokoto (resilient) Ni rahisi kusafisha paving blocks...
  4. B

    AZAM TV customer Care

    Mimi imenitokea jana. Nililipia tarehe 9 mwezi uliopita, tarehe 5 mwezi huu eti kifurushi kimeisha!
  5. B

    Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Duh! Aisee mzee baba STUNTER hongera sana. Tisha basi mkuu tupone wengi..tutaiita STUNTER RECIPE. Thank you in advance.
  6. B

    Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Maendeleo kwa siku ya 7: Hadi kufikia unafuu wa 30% nimetumia:- 1. maji vuguvugu kikombe kimoja + apple cider vinegar (1 tablespoon)+ asali (1tablespoon) mara 1 kwa siku (vinegar inashauriwa usitumie zaidi ya kipimo hicho kwa siku). 2. maji vuguvugu + limao + tangawizi 3. kitunguu swaumu ponda...
  7. B

    Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Bado napambana mkuu. Nimerecover kama 30% hivi.
  8. B

    Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Waliniambia katika list ya dalili hii haimo, kwa io walinipa dawa ya mafua, kifua na aleji nitumie nione itakuwaje.
  9. B

    Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Hongera mkuu STUNTER kwa kufikisha 80%. Unaweza kushea namna ulivofanya mchanganyiko wake? Naamini itatusaidia wengi. So far nimechanganya maji moto + apple cider vinegar + asali ambayo wanasema matumizi ni mara 1 kwa siku, nimeshaipiga io tayari.
  10. B

    Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Mimi iliwahi nitokea kabla, ila ya sasa hivi inanitia wasiwasi sababu inachukua muda. Nilizoea siku 1 au 2, lakini kwa hii inaenda siku ya 5!
  11. B

    Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Mkuu STUNTER unaendeaje hv sasa? Mimi hali bado ni ile ile na mda huu nipo njiani kuelekea hospitali. Na vyakula vya kuboost uwezo wa sense ni kama vipi?
  12. B

    Zanzibar yatangaza wagonjwa wapya 23 wa COVID-19. Idadi ya maambukizi yafikia 58 na 170 kwa Tanzania ( 19.04.2020 )

    ''Wagonjwa wawili kati ya wagonjwa wapya walifariki nyumbani kabla ya kuchukuliwa vipimo''. Najaribu kujiuliza wamejuaje wamefariki kwa corona kama walifariki kabla ya vipimo? Au mimi ndio nimeshindwa kuelewa?
  13. B

    Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Duh! Siku ya pili leo nakosa ladha ya msosi, mwanzo nilidhani mpishi anafeli...uwezo wa kunusa nao umepunguaa 😢😢
  14. B

    Janga la Corona: Serikali itoe tamko kuhusu wanafunzi kurudi shule au kuongeza muda mapema iwezekanavyo!

    Si account rasmi, milarrdayo (double r) vs millardayo (double l). Kuna account feki nyingi sana insta.
Back
Top Bottom