Recent content by boss

  1. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais amuwakilisha Rais Magufuli kwenye mkutano kati ya nchi za Kiafrika na China, SA

    Mama Samia anaenda...mmesahau ile story ya kuokoa m700 kwa kupunguza maafisa wa safari? Ndio hii imefuka sasa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa Ni Aje?

    Mbona kila mtu katoa wakala mkuu au hukufuatilia mpaka mwisho.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

    Hata hawakuhitajika kuongea manake tunawajua vizuri tu. Tuchukulie ilikuwa salamu kwa wanachama.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mtupu

    Inaeleweka vizuri sana tu mbona. Uzi umeandikwa kitaalamu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuomba pasipoti mpya (passport renewal) kupitia ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia

    Inbox ua contact nikuelekeze
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuomba pasipoti mpya (passport renewal) kupitia ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia

    Chukua watanzania wenzako tu hapo jaina shida
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuomba pasipoti mpya (passport renewal) kupitia ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia

    Ndugu nenda pale ubalozini onana na ofisa mhusika arakupatia fomu za kujaza kama kawaida kusha watakusaidia kuituma immigration bongo. Gharama yake haizidi 100 usd. Na huwa inachukua kama mwezi mmoja. We nenda tu wala usipate hofu manake niliwahi kuomba pia na mambo yalikuwa marahisi sana tu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuburn fat! kwa wenye vitambi!

    Aah ukiona kichwa cha habari basi kina mvuto kweli lakini habari yenyewe imenivunja mbavu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania nauza hii computer

    Desktop ina kazi zake haswa mambo ya graphics. Laptop zina limitation nyingi sana labda uwe mtumiaji wa kawaida tu.
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania uvumilivu ulimshinda sasa kilio akibwaga kwangu.nifanyeje?

    Mgonjwa huyo...kaa naye mbali.
  11. B

    JamiiForums Tanzania FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    kazi nzuri makamanda wetu endeleeni na kazi kama mlivyoianza.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sera kuu ya CCM ni Dar kwanza, Hongera wamakonde wa Mtwara!!

    Badilisha title yako mkuu.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Umemsikia Robert Mugabe!?

    Mugabe kwa majibu tu ananipa raha. Kawajua wazungu na hila zao siku nyingi sasa akiwaambia ukweli wanakasirika.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Kujiuzulu kitu gani, kwanini usishitakiwe kwa mujibu wa sheria. Wanasiasa wamekuwa majanga tu siku hizi.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi on Nape: Muache Mungu afanye Kazi Yake

    Huyo ndo msemaji wa chama anatokwa na maneno tu bila mpangilio.
Back
Top Bottom