Recent content by Boss Smart

  1. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

    😂😂😂😂 Al Duktur
  2. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania Nina vingi vya kujifunza kwa Baba yangu

    Hahahahah nimecheka sio poa, yaan Mtu mbili tu ndo tukuteke.
  3. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

    Maana yake Barua hii ya utambulisho inakuhitaji uwe nayo, hata kama una vitambulisho wanavyovitaka?
  4. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

    Kuna mmoja anaitwa Edward Kabamba kutoka Idom- Manyara.
  5. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    12:17 am
  6. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujiuliza kuwa kuna siku utakufa? Na je, ukifa itakuwaje?

    Yaan ule Uzi wa kule hujamaliza unaanzisha mwingine, unakwama wapi arifuuuuu. Mbona unakwenda Ile fasta ya ngiri mkia mjuu jombaaa
  7. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania Get Rich or Die Tryin: Niliyoyapitia katika ukuaji wangu

    Oiiii jombaaa unaiendeleza saa ngapiii aseee
  8. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania Uteketezaji huu wa vifaranga ni unyama uliopitiliza

    Taarifa ile hata Mimi ilinishangaza kwa kweli.
  9. Boss Smart

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye mkataba nimemwandika kama mrithi Ila yeye kamwandika baba yake

    Sambamba na yote hayo uliyoongea Mimi binafsi nimekuelewa mnoo. Nitatekeleza ushauri wako Mzee.
  10. Boss Smart

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona ujumbe huu kwa Mwanamke, bora ujifanye mtandao unasumbua

    Haahahah
  11. Boss Smart

    JamiiForums Tanzania Kitabu Mzingile cha Kezilahabi kinahusu nini hasa?

    Ndugu yangu Mzingile na Nagona mwandishi ametumia mkondo wa kifalsafa katika uandishi wake kwahiyo ni vigumu kweliii. Japo kusema kweli Mzingile kurasa Tano za mwanzo ndo kinaeleweka kuanzia panapofuata mtafutano unaanza. Kwa upande wa Dunia uwanja wa fujo ni moja ya kazi bora Sana za...
  12. Boss Smart

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Jahahahahh heeeeheeee
  13. Boss Smart

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Hahahhahaha
  14. Boss Smart

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hapo kwa Prof wa jalalani hahahahahhaha.
Back
Top Bottom