Recent content by Boss Mdogo

  1. B

    JamiiForums Tanzania NIDA Kama Mtu hana kitambulisho cha kuzaliwa lazima alipe 5,000/= kwa hakimu kuapa?

    Cheti cha kuzaliwa unapewa bure? Cheti kuzaliwa f10 hata hiyo ya Mahakamani ni F10 maana inasimama badala ya hicho cheti, punguzeni kulalamika, inatakiwa walipie f10 benki, kama wanalipa f5 wanatoa ya kiwi tu na sio gharama halisi!
  2. B

    JamiiForums Tanzania NIDA Kama Mtu hana kitambulisho cha kuzaliwa lazima alipe 5,000/= kwa hakimu kuapa?

    Tena wanawasaidia tu, fomu ya Mahakamani "Affidavity" Ni elfu 10 na sio 5, taratibu kwenda kulipia benk ila ukifanyiwa f5 jua mmegawana gharama!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe za Serikali kulipa madeni ya watumishi ilikuwa ni igizo?

    Ama kweli awamu hii ni vituko na mizuka, watumishi wanaodai malimbikizo ni wengi kuliko waliolipwa mwezi jana. Je, hili zoezi lilikuwa kutafuta sifa kwa viongozi kama wanajali watumishi au kurusha roho tu? Awamu ya pili ni baada miezi mingapi? Sio kwa maigizo haya!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, yeye alitoa wapi hela?!

    Bado ananyoosha nchi mjomba! Hata hana habr kabsa!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Mm Naishi Chooni mtaa wa Tundu la choo, naamn kila mmoja wetu ni jirani yangu japo hatuonani!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa alama hizi za form 4 anaweza kusoma advance?

    Anaweza kupata maana mm nilisoma na jamaa alipata matokeo kama hayo na Akachaguliwa kwenda Adv, BCD ni point 9 yaan sawa na CCC kinachofanyija D inakua Recharged kuwa C,
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kazi ngumu sana!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba miaka 2 sasa! Malengo yangu nikumuoa, lakini mama yangu anasema nimuache

    Boss kweli Simba kashnda aisee, naleta mrejesho badae kdogo nikimalza kuongea nao! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba miaka 2 sasa! Malengo yangu nikumuoa, lakini mama yangu anasema nimuache

    Namwamni mungu aisee, Mpira ukiisha ntampgia kuzuga nione lengo lao ni kunambia kuna mchumba wanataka nimuoe au? Kila kitu ntakiweka sawa! Namtanguliza mungu kwa kila jambo, Mpira wa Simba vs Yanga ukiisha ntamtafta kutimiza wajibu! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba miaka 2 sasa! Malengo yangu nikumuoa, lakini mama yangu anasema nimuache

    Ahsante sana mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba miaka 2 sasa! Malengo yangu nikumuoa, lakini mama yangu anasema nimuache

    Ahsante sana mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba miaka 2 sasa! Malengo yangu nikumuoa, lakini mama yangu anasema nimuache

    Hapa nikupambana kweli, maana mahusiano huwa ni makubaliano ya watu wawili, tukshndana tunaachana wenyewe sasa mtu kuingilia mahusiano ni kosa kubwa sana, ngoja nipambane! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba miaka 2 sasa! Malengo yangu nikumuoa, lakini mama yangu anasema nimuache

    Mkuu mdada hajui kama kuna hili suala, ila anaamin sana ktk Mungu hivyo siwez meambia chochote coz ntamchanganya sana, next wiki anakuja kunitembelea toka Kanda ya ziwa mpaka Nyanda za juu kaskazn! Naanaamn akija kwangu ni kama kwake pia, hivo akijua itakua shda sana kwake! Sent using Jamii...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba miaka 2 sasa! Malengo yangu nikumuoa, lakini mama yangu anasema nimuache

    Hamfahamu na hajawahi kumuona! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom