Recent content by borninzen

  1. B

    Fwd: Msalab

    Naomba kujua fiada ya msalaba au msalaba una value gani kwa wakristo? Maana nimeona unatumiwa vibaya sana hasa kwa wazungu jamii iwe Europeans au Americans.
  2. B

    Mdada/Mwanamke kitu gani kitakufanya uwe mwaminifu kwa mpenzi wako/mume wako

    zina ni kutembea au kufanya mapenzi ikiwa mwanamke kwa mwanamume au mwanamume kwa mwanamke walokuwa hawapo kwenye ndoa ya halali.
  3. B

    Hii ndio dawa ya mwanaume mbeya.

    Sasa ndio umeona sifa kufanya hivyo? Huwa si upumbavu tu ulofanya?
  4. B

    kipigo toka kwa mpenzi, mke au mume... ni mapenzi ya dhati

    Kupiga si mapenzi na nayekupiga hakupendi. waswahili wanasema maneno mazuri humtoa nyoka pangoni. Mwanamme ukiona mwanamke huwezani nae mrudishe kwao na mwanamke ukiona mwanamme huwezani nae achana nae, kupigana si mapenzi.
  5. B

    Kupenda harufu ya........

    Haya sio maradhi wala usishangazwe na hayo kama ilivyosemwa hapo juu normal human/animal behavior. sio yeye peke yake anofanya hivyo wapo wengi wanaopenda kusikia harufu za wapendanao.
  6. B

    Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Iwapo mwanamke unayempenda kakubali ufanye nae mapenzi kabla ya ndoa ujuwe huyo hatawacha kukusaliti. na wewe mwanamme kama unampenda mpenzio kwanini utake kufanya kabla ya ndoa?
  7. B

    Malaya

    Mwanamme hendi geto, wala hasimami njiani kuuza mwili wake.
  8. B

    Malaya

    Ni umalaya na nani Malaya? Malaya ni msichana au mwanamke ambaye anafanya mapenzi na mtu asiyekua si mumemwe wa hahalali. kuna namna tatau za umalaya nazo 1. Malaya wa kwanza ni yule ambaye hutafuta pesa kwa kila njia ya kwa kuuza mwili wake, ikiwa kwenye geto, baa au njiani ( bara barani). 2...
Back
Top Bottom